@MariaSTsehai Hapa huenda hata hakuwa akimuadmire ni alikuwa akimpambania kwa maslahi yake binafsi. Unafikiri Lissu angekuwa Rais yeye kama mtu mwenye nafasi Chadema si angepata gape la ulaji pia.
@francismtey Demu maskini, hasiye na elimu, ajira wala biashara lakini anakuwa na standards na aina ya mwanaume amtakaye na mostly anampata, sasa mkute msela ana kila kitu alafu angalia anavyohangaishwa na demu hasiye na lolote kisa tu katamani tak* Wana wengi hawana malezi ya kiume ni losers
@Tweener003 Messi wa miaka 39 ana goli 7 lakini wakati ana miaka 23 akiwa ana ballon dor 4 tayari na akiwa kwenye ubora mkubwa than sasa hakuwa na goli hizo pale Africa kusini. Zama zinabadirika huwezi fananisha straika alokabwa na Nesta au Maldini na anayekabwa na Kounde
@rafi_sadique@FabrizioRomano Deep inside he was so happy for him to lose as the result he can add up the second ucl trophy on his list. The world is full of fake hope and comfort.
@AlexSamoja Huonekana wafupi uwanjani sababu wanakuwa wanacheza na watu warefu zaidi yao wengi. Pia uwanjani wanavaa six, hazina soli zile so hakuna height gained kwa viatu na soli zake kama mtu wa kawaida kitaa plus uwanjani ukivaa six ukitembea ni kama unatitia hivyo unashuka chini zaidi
@Roma_Mkatoliki Huyo msanii ndiye siye smart! Alitakiwa kujibu ngoma kali ni yake maana inazizidi zote finale na happy, then wangepata majadiliano hayo na ngoma yake ndo ingekuwa topic.
@fadhilikangusi Miongoni mwa vitu vinavyoprove kwamba waafrica wengi ni mbumbumbu ni hili la majina! Haijalishi imani wala usasa lakini kitendo cha kutelekeza majina yetu ya asili ni proof ya kwamba wengi ni mapimbi sana.
@BarakaMaviatu@JosephKakolo Kizazi huwa kina tabia ya kurithi na kuendeleza. Wao wanaweza kuwa worse than sisi. Ubinafsi na ujinga vinatucost sana watu weusi
@max_zitatu 95% ya wanawake wote wanaofanya kazi, mahala pao pa kazi ofisini/biasharani huwa wana mwanaume au wanaume wengine ambao wanatembea nao pia regardless what! Ukioa oa kwa ajili ya kuendeleza kizazi na sio loyality ya mtu ambaye umekutana naye ukubwani tena sometimes sio hata virgin
@chapo255 Kuna mchekeshaji mmoja wa stand up comedy anaitwaga Deogratius sijui kwanini jamaa hapatagi platform kama hizi. Ni mtu mbadi sana yule jamaa kwenye stand up comedy.
@Ambele_Young Zama zimebadirika sana yani baba anaogopa kubadiri chaneli aangalie mpira kisa dogo atamind 😃. As the days go tunazidi tengeneza kizazi dhaifu.