Naogopa kutokuwa na imani, lakini kutokuwa na imani dhidi ya Serikali ya Tanzania kuhusu uwajibikaji wake juu ya haki si hofu wala kukosa matumaini, bali ni uelewa mzuri wa hali halisi na, kwa namna fulani, ni imani ya kweli. Msingi wa kutokujali haki unaojengwa leo ni tabia ambayo, siku moja, itamuangamiza kila mtu. Hakuna aliye salama, hata wale wanaoona ni sawa kuhukumu vibaya wengine leo.
Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
BADO TSH. MILIONI 41.2 PEKEE TUFIKISHE LENGO LA MILIONI 334.
Bado Milioni 7.2 kufika Milioni 300 tupate milioni 1 ya @Sativa255 .
CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB
Bank Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
JAYRUTTY kamaliza Kazi, Sasa unaweza KUNUNUA JEZI YA SIMBA SC KWAJILI YA EX-FACOR kwa Shillingi 50,000/ TU.
LIPA KWA SELCOM PAY NAMBA 61223807 kwa kutumia Mtandao wowote.! Nunua Jezi unazotaka kurahisisha kumpata EX-FACTOR NAMBA 6, zimebaki siku 3 tu za usajili.
Mpaka sasa tumekusanya TSh. Milioni 254.1, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 79.9 pekee kufikia lengo letu la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Wanangu challenge ni kumaliza hii michango kabla ya siku 20 tangu tuanze michango.
Leo ni siku ya 14 na tuna 218.
Kiufupi tupo nje ya MUDA SANAAAA.
Changia sasa MPESA.
0744446969
Jina: CHADEMA HQ
Repost 200.
GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
Kwa sasa Heche ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA hadi Lissu atakapokuwa huru. Utake usitake
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.
Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.
Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.
Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.
Hata mumtukane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.
Safari hii chama cha Wauaji, Mafisadi na Watekaji mtanyooka. Haogopi wala hatishiki.
Chuma kwelikweli. 💪
CCM sijui mmemuelewa Makamu Mkiti Chadema? Msimamo.ndio huo na ni wa vikao vya kikatiba bila shaka umejieleza vyema.
Chadema "focus" ibaki kwenye agenda za chama. Free Tundu Lissu, katiba mpya na nchi kugeuzwa gulio la mafuta kwa wahuni duniani.
Sasa ni wazi hawataki kumwachia LISSU maana moto wake utakuwa mkubwa kuliko huu wa HECHE.
Walikiweka chama kabatini na kudai kimekufa. Baada ya miezi miwili ya kampeni free Lissu na katiba wameamua kukimbilia msaada wa polisi.
CCM kwisha, kwisha, kwisha kabisa.
What you see in this video is the reason political rallies have now been banned in Tanzania. The opposition’s rallies were growing larger with each passing day. Not only were they drawing massive crowds, but people attending the rallies were also voluntarily donating money to support the opposition.
It was a clear and powerful rebuke of Samia Suluhu’s regime by the people of Tanzania.
@POTUS@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems
Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.