Shs 1.5 trilioni hazijaliwa na "wajanja." JPM amefungua akaunti ya kampeni 2020. Ameziweka humo. Akaunti inasimamiwa na yeye na msukuma mmoja wa "kitengo" pale hazina. Siku moja nitawajulisha uhusiano wake, deni la ndani, na Strabag huko Kahama, wanavyolipwa ili "wampe chake."
Ila acha niwe mkweli - hata mi sitaki kupangiwa ni-tweet nini! Msema kweli mpenzi wa Mungu .. #OkBye ๐ถ๐ฝโโ๏ธ๐ถ๐ฝโโ๏ธ๐ถ๐ฝโโ๏ธ