@KeKirwa HII NI UONGO...Teachers Huwa wanabehave kama wakisii...ni kama hawalipwagi mshahara...life Yao Huwa tricky sana...most hata lunch huinama na mtu ni secondary teacher hizo vitu unasema wananunua ni uongo
#KENYA: VURUGU ZA UCHAGUZI MDOGO KENYA -POLISI WAPEKULIWA MABEGI KWA MADAI YA KUBEBEA VIFAA VYA UCHAGUZI
Taharuki ilizuka katika uchaguzi mdogo wa ubunge Ol Kalou nchini Kenya, baada ya wakazi kuwalazimisha polisi kufungua mabegi yao, wakidai walikuwa wamebeba vifaa vya uchaguzi.
Tazama LIVE: https://t.co/9HWSFnkjkU
Kwingineko katika kituo cha kupigia kura cha Comprehensive School, maafisa walizuiwa kuingia huku wananchi wakipiga kelele: “Muende wapi? Tumekataa! Hakuna Kuingia.” Umati ulisisitiza kuwa uwepo mkubwa wa polisi ulikuwa jaribio la kuingilia mchakato wa kura.
Katika vituo vingine kadhaa, polisi pia walizuiwa kuingia, jambo lililoonyesha wazi kutokuwapo kwa imani kati ya wananchi na vyombo vya usalama wakati wa kura hiyo ndogo.
Mamlaka bado hazijatoa tamko rasmi kuhusu tukio hilo, huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ikisisitiza kuwa doria za polisi zinalenga kulinda wapiga kura na maafisa wa uchaguzi.
Ili tujenge Tanzania yenye usawa na haki, ni lazima kila mwananchi atambue kuwa Katiba ni mali yake, si hisani kutoka kwa viongozi. Ushiriki wetu kwenye mchakato wa Katiba ndio utakaoleta mabadiliko ya kweli. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
@OleItumbi Any opposition Kenyan common man who knows how Kenyan politics works cant celebrate the DCP win in ol kalou..that's a smoke screen...they will hurry to congratulate your man for the win..they won't contest the win in court...hyo 2027😅😅..Mchezonwa taoni..thays a small win kwao
Unapigia customer care wa @TelkomKenya kumwambia kuna network problem within your area.. phone call yenyewe inakatakata...shida ya network hata penye ako..@OmbetaC can someone sue a company kwa kumfanya akose online interview ju ya their poor network..infact si poor..haiko kabisa
@FIFAWorldCup Why don't you just hand Argentina the cup and save every other team's time...this year's cup is just shoddy... people favour but cleverly..yours is in plain sight..even a blind person can see it
@_Sakko Ndio maaana mm as a concerned citizen..nahakikishaga time ya kuenda kukojoa ama kugrab kitu ya kula Kila mtu hushuka ndio nishuke..including the driver ju labda yeye ndio marehemu