Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
ISAYA 4:1
Oya washkaji, achana kabisa na masuala ya kuamini kuwa yupo mtu fulani nyuma yako atakae kusaidia siku ukikwama•
Jitahidi sana ujifunze kujitegemea, Watu wamebadilika na ubinafsi umeongezeka kwa Asilimia 100%, Sasa hivi ni Changu changu, Chako chako, Usije sema hatujakwambia•
Moja ya swali la kipumbavu sana na IQ ndogo ni " ukifa unataka watu wakukumbukaje?"
Ukishakufa hujui chochote kinachoendelea duniani, why should it matter??
Sheria bwana 😅. Kumbe mfano ukiweka electric fence, lazima utoe onyo.
Yani unamuwekea mtego mwizi ila ni lazima useme kuwa umemuwekea. Sa si ata bypass ur mtego 😭 au?
Sikia bro,
Kila mtu anayesoma hii Tweet ipo siku atakufa, hii ni natural principle... ila kama upo hai kamwe usiishi kama mtu aliyekufa.
Uwepo wako hapa duniani LAZIMA uonekane✅️