GEITA: Wananchi wamegoma kuuzika mwili wa Mwanaume aliyefariki baada ya kupigwa na Polisi Jamii.
>Wakazi hao wa Kata ya Mgusu wameamua kuutelekeza mwili wa Mwanaume huyo aliyeacha mke na Watoto 4 nyumbani kwa Mwenyekiti wa Mtaa. Soma ~ https://t.co/G1yw4aW4HQ
#JFLeo
Ni wakati muafaka kwa Serikali kuridhia Mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Mateso na Adhabu au Vitendo vingine vya Kikatili, visivyo vya Kibinadamu, vya Kinyama na vyenye Kudhalilisha wa mwaka 1984.
News update
#Tanzania opposition leaders are being held at Segerea Maximum Security Prison
Kisutu Resident Magistrate Court, Criminal Case No. 112 of 2018
Republic versus Mbowe, Mashinji, Matiko, Mnyika, Msigwa & Mwalimu
Katika siasa hatuwezi kutegemea miujiza ya Mungu kumhukumu kiongozi aliyekosea. Lazima tuhukumu kwa kutumia akili zetu za kawaida. Nchi hii imewahi kung'oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wa kuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - #Nyerere