@Iddykibua@babawawil@Mwabuk2Boniface Wewe nawe kila sehemu unaandika huu upuuzi....ko yanayofanywa hayo ni sahihi au? Mbona watumishi wengi wa Mungu zamani ambao wapo kwenye maandiko wengine walikuwa wafalme pia viongozi wa dini,kwani shida ni nini?
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Nyimbo zinaweza fanana tempo na key,na alichofanya DJ hapo huwa kinafanyika na madj wengi pia kutokana na nyimbo kufanana BPM. Lakini tatizo la hizo nyimbo mbili ni kuwa mpaka beat pattern ziko sawa. Ni uvivu tu wa producer