#TajiriLaKihaya
Ila wakuu tukisema tu ukweli bila Kuoneana Aibu…
MWANAUME kwa mwezi Ikiwa Mshahara na marupurupu yote Hayafiki 700k.
Inabidi kwenye simu yako Hata namba ya mchepuko au manzi usiwe nayo kabisaa!
Focus on Building yourself first!
Mapenzi ni gharama…
If you chase the madman away, make sure you get rid of his cans too. There may come a day when he remembers them and comes back looking for them.
To be continued… 🌚
Hakuna viumbe wenye comeback ya hatari kwenye maisha kama wanaume.
Ndio maana wanasema mwanaume akianguka usicheke wala kutia neno baya mara nyingi mwanaume anapoanguka hujifanyia tathmini na kurudi kwa kishindo kikuu kama simba🙌🏾
Wazee kuna maisha matamu sana kwa mtu aliye single😁😁😁
Huyu mtu anakuwa hana tofauti na mpigania uhuru
Simu yake ukishika tofauti na calculator labda batani tu meseji zilizojaa ni za songesha, m pawa, n.k..
Sema wanapendaga kula misosi mizuri kichizi
Kuwa single sio upweke ni uhuru wa manyani🫵😁
Kwanini unaweka pesa bank? Pesa zenyewe za madafu, ukigundua Siri hii utaenda kutoa pesa zako Leo hii
Inflation ni 4.5% kwa mwaka
Kama ukiweka pesa bank kwa mwaka mmoja mfano 1M itakuwa imepoteza nguvu ya manunuzi kwa 45000
Ada za bank tufanye 3000 kwa mwezi sawa na 36000 kwa mwaka
Kwahiyo, pesa yako inapokaa bank hasa kwenye savings account inapoteza thamani
Unajua hata ukinunua HISA za million 1 kwa mwaka ukapata gain ya 7% Utakuwa umepata 70000-45000 (thamani iliyopotea)
Kimahesabu ukiwa na pesa za madafu zifanye kuwa mbegu, kuna Mahali ukiweka 1M kwa mwaka unaweza pata 2-3 na 1M kila mwaka kama faida kwa miaka kadhaa mbele
Hakikisha una mwana mmoja ambae ukizingua anakuchana pasipo kupepesa macho
Hao wana huwaga OG sana na ni wachache wengi huwaga wanafiki hata ukikosea hawasemi.
Ukimpata mwana wa hivo usimpuuze📌
Kabla haujafanya maamuzi kwanza inabidi umueleweshe kuwa umemuoa, ameolewa, na sio mmeoana"
Aliongea kwa sauti ya chini sana, na alishajua sijamuelewa, ama sijasikia asemacho. Babu akaendelea.
"Wapo wanawake wanataka kuwa na ndoa, wengine wanahitaji kuwa mke, utafanikiwa kama utampata anayetaka mume mbele ya harusi.."
"Upo serious unataka kuingia kwenye maisha ya kupewa cheti kwanza kisha ndio ifuate mitihani?" Aliniuliza kwa mshangao BABU😶
Mtoto wa baba toka Kenya mama USA, aliyelelewa na bibi na babu kwenye kisiwa cha Hawaii. Akavuta bangi na kunywa pombe kwenye ujana ila baadaye akatulia hata akasoma Harvard. Akaingia kwenye siasa akawa Seneta na Rais wa kwanza mweusi wa USA, Barack Obama ametimiza miaka 65 leo
Ratiba ilikua nifike mikoa hii baada ya simu kuita ni mambo ya SHAMBA na wadau kadhaaa 🛑
MAKETE ✅
SONGWE✅
IRINGA ✅
SONGEA niko way ✈️
Kwa bahati mbaya Kuna mikoa sitofika sababu ni nane nane next week natakiwa kurudi mbeya kufanya maandalizi ya materials kuelekea msimu mpya