Air Ticketing | Visa | Hotel Booking | Travel Insurance
Fast • Trusted • Affordable
📍 Mkunguni/Ukami
📞 0710132720 | 0710400247
Travel Smart with RoyalSky🌍
Ukiwa mwanaume jitahidi uyaishi haya kwa 90%!
•Acha kuwa na aibu
•Acha kuwa introvert
•Wageni watakufanya tajiri
•Anza networking kwenye unachokipenda
•Fanya small talk kila mahali unapoenda.
Kwasababu;Hujui ni aina gani ya connections utakazounda baada ya kufungua mdomo.
Midomo iliyofungwa haipati chakula,Mzee!
Dear Bro's,Level Up!
@BigOO47 🚨✈️ USIKOSE NAFASI!
Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍
Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
@gabyconscious 🚨✈️ USIKOSE NAFASI!
Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍
Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
@Roma_Mkatoliki 🚨✈️ USIKOSE NAFASI!
Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍
Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
@Sativa255 🚨✈️ USIKOSE NAFASI!
Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍
Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
@EsirEid :
🚨✈️ USIKOSE NAFASI!
Safari yako inaanza hapa na RoyalSky Travel Services 🌍
Tiketi za bei nafuu, Visa assistance ya uhakika, Hotel booking na Travel Insurance – huduma zote sehemu moja!
You can do three important things:
1.Learn.
2.Backtest charts/market.
3.Practice.
⟶ Learning is slow and steady process.
⟶ Backtesting needs right information about market.
⟶ Practice needs self commitment.
Hakuna kuchoka💪🏾
NILITUMIA NJIA HIZI KUJIFUNZA FOREX NA KU MASTER NDANI YA MIEZI SITA
1. Niliipenda kuliko kitu chochote (elewa neno KITU). Kuipenda kuliniweka mbali na Imani hasi juu ya michakato ya kusadikika. Niliifanya kwa Mapenzi hata iliponivunja Moyo.
2. Nili unfollow pages zisizo za msingi Insta na X na ku follow traders Tu (nimewafollow wengi sana), na wengine nikawawekea na notifications kabisa. Lengo ni kutengeneza algorithm ambayo itaniweka karibu na kuona charts kila nnapo scroll kwenye mitandao ya Kijamii (Hili liliniongezea Morali na lilikuwa sehemu kubwa sana ya mimi kusogea)
3. Niliachana na biashara za kuuabudu Usingizi nikatangaza vita nao, nika escape from the comfort zone. Niliutumia usiku kama mchana na Mchana kama mchana.
4. Niliwekeza Nguvu, Mwili na akili kuyatafuta maarifa popote yalipo.
5. Nilitumia zaidi ya masaa 8 kutazama charts kila nilipojifunza, kutafuta nilichojifunza na kukifanyia kazi.
6. Nilipomaliza Technical, nikatenga muda wa ku deal na Saikolojia yangu. It didn't last longer. Nilipona Psychology ndani ya miezi michache.
7. Nilitumia muda mwingi ku bactest na kuboresha mfumo ninaotumia kutrade.
Sahii usiku nautumia kutrade, asubuhi kukikucha nakuwa nishaakunja midola yangu. Watu wakiamka kwenda mihangaikoni, mimi narudi kulala. Na nayainjoi Maisha yangu. Nikiamka napangilia ratiba zangu, naendelea nazo. Sihangaiki tena na Macharts.
Nilikubali kuteseka kwa muda mfupi, ili nijipe Amani ya kiuchumi ya Miaka mpaka pale muda wangu wa kuishi utakapoisha!.
ONCE U HOLD IT, DON'T LEAVE IT. ISHIKE MPAKA IWAKE!