@IAMartin_ Kaka nakubali sana. Na pia npendwezwa sana na harakati zako nakuombea sana kwani nakuona sehemu ya juu sana katika chama na nchi hii hapo kitambo kidogo.
. @tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN@UN
Please don’t fall for this so-called “reconciliation.” There has been no reconciliation in Tanzania.
ACT Wazalendo was formed by former President Jakaya Kikwete to weaken the country’s main opposition party, @ChademaTZ2. In Tanzania, people even refer to ACT Wazalendo as “CCM B” because it is seen by every Tanzanian as an extension of the ruling CCM rather than a true opposition party.
In fact, ACT Wazalendo participated in the October 29 election. So what exactly are they claiming to be reconciling? These two parties have long worked closely together.
You will not find a single Tanzanian who considers ACT Wazalendo a genuine opposition party. It is viewed as a political vehicle used by CCM to divide and weaken the real opposition.
SWAHILI
@tedcruz@SFRCdems@SenateForeign@SenatorShaheen
Tafadhali msidanganywe na hiki kinachoitwa “maridhiano.”. Hakuna maridhiano yaliyofanyoka Tanzania.
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa na Rais wa zamani Jakaya Kikwete kwa lengo la kudhoofisha chama kikuu cha upinzani, @ChademaTZ2. Nchini Tanzania, wengi hukiita ACT Wazalendo “CCM B” kwa sababu kinaonekana kuwa ni mwendelezo wa CCM badala ya kuwa chama halisi cha upinzani.
Isitoshe, ACT Wazalendo kilishiriki uchaguzi wa Oktoba 29. Kwa hiyo, wanapatanishwa kuhusu nini hasa? Vyama hivi viwili vimekuwa vikifanya kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Utapata ugumu sana kumpata Mtanzania anayekiona ACT Wazalendo kama chama cha kweli cha upinzani. Watanzania wengi hukiangalia chama cha ACT Wazalendo kama chama kinachotumiwa na CCM kugawa na kudhoofisha upinzani wa kweli.
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
@RashdaZunde Alipitia nini alikosa nini na je alichofanya kilikua kosa kisheria kaka ndio. Kwa kifungu kopi nakama sio kwanini tuwaruhusu watu watuonee kwenye ardhi ya manabu zetu. Hiyo sikubaliki