My son
I wish you the strength to face challenge with confidence, Along with the wisdom to choose your battles carefully, Listen to your heart and take risks carefully......
Remember how much you are loved and I'm so proud of you my Feysal
#MamaAkeFeysal ❤❤
Tujifunze na kuomba Mungu uwezo na mioyo ya kuona pia mazuri ya binadamu wenzetu. Hakuna mwenye mabaya tu wala hakuna mwenye mazuri tu. Hakuna aliyekamilika.
#MamaAkeFeysal ♥️
“Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli. Na omba msamaha kwa dhambi zako, na umtakase Mola wako Mlezi kwa kumhimidi jioni na asubuhi.” — Quran (Al-Ghaafir 40:55) @MwatebelaAlly
Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi, ila itakufaa kwa mboga mchana
Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki.
Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote🔨🔨.
Haya ma physics, mathematics, chemistry na biology kama una uwezo wa kukomaa nayo komaa nayo...alafu thanks me latter🤪.....maana kilichonikuta leo uwiii🤣
It’s ok! It’s ok! It’s ok, very ok kwa Pierre Liquid kufanya anachofanya na kufurahisha wanaoona ‘anachekesha’. Nchi haiwezi kujengwa na watu wanaofanya mambo magumu magumu pekee. Kila mmoja wetu anafanya sehemu... https://t.co/Omi1bPZlX1