Kuna Mstari Mwembamba Sana Unaotofautisha Kati Ya
Ushuhuda/Kushudia ( Mambo Ambayo Mungu Amekutendea)
Na Kujivuna/ Kujiinua/ Kujikweza.,
Hakikisha Unapo Shuhudia
Ushuhuda Wako Unaenda Kwenye
Nini Mungu Amekufanyia Na Sio
Kuona Wewe Ni Bora Kuliko Wengine.
We Come From Humble Families, Old Houses With Sad Stories.
We Are Not Hustling To Impress Or Be in Competition With Any One.
We Just Want To Change The Storyline And Fight The Battles
That Our Parents Never Won.
Kisawe Cha Upendo Ni Kiwango Cha Ubinafsi Kua Chini Yaani Ambapo Ungevaa Vizuri Wewe Una Toa kwa Mwingine, Ungeweza Kula Wewe Una Mpa Mwingine..
Yaani Ni Kama Kutojiweka Wewe Mbele Sana.
Na Kwa Asili Binadamu ni Mmbinafsi Yaani Anapenda Yeye Kama Unaweza kutokua Basi UnaUpendo
Epuka Kujifananisha na Watu Katika Mambo Mbali Mbali mfano
Elimu, Kazi, Fedha na Badala Yake
Jifunze Kurahia Hatua Ndogo Ndogo Unazoendelea nazo
Hii Itakusaidia kupunguza Sonona (Stress)
PRAY|TRUST|WAIT
Heshima Haina Tofauti Sana na Kua Chini Ya Mtu Yaani Kiufupi Ni Kukubali Na Kitii Kila Jambo Bila Kujali Uhusiano, Dini, Umri Na Mengineyo Na Katika Hali Hii Kuna Kudharaulika Mtu Wa MUNGU
Na Watu Wazuri Sio Wao Ni Wewe
Play Role Yako Za Kwao Usideal nazo Kabisa..!
Kumekua na Kasumba Ya Vijana Wenye Umri Wa 20-35 Kuona Kumcha Mungu Ni Ushamba
Unaweza Kua Mnyama Lakini Ukawa Unamjua Mungu/Kua na Hofu Ya Mungu..
Mimi Sio Ushamba Kua Upande Wa Mungu Kwa Sababu Ya Umri Wangu
#IbelongtoGOD👐