@CRDBBankPlc Mna huduma mbovu simu huduma kwa wateja hampokei, mnadai tutasaidiwa kwa haraka tukija kwenye social media platform ila bado hamjibu lolote ...mnakata hela sasa natumia muda kufuatilia hela mliyonikata..poor customer care kwanza huduma kwa wateja nalipa ili kusikiliza matangazo ?
@Makdavy1@TTCLCorporation Nawaambia visivyofanya kazi mkuu...kwangu Home Internet haina shida ....ila nahisi kuna shida pahala wanakosea ..ni vile kuna security of tenure kwa mashirika ya umma iangaliwe upya based on KPI's..utanishukuru baadaye
@md_chriss Hata kama ni direct au sub recipient award..stop order yenyewe haijalishi unapata fund kupitia taasisi au moja kwa moja ..hata kama hiyo pesa tayari ipo kwenye akaunti ya taasisi hairuhusiwi kutumika as long imetoka USAID
@md_chriss kuna mawili, moja kuna project inakua funded na USAID au taasisi yote kwa ujumla wanaweza kua wanapata fund direct or kupitia taasisi nyingine (sub recipient) lakini pia kuna type of contract..kuna reimbursement au FAA ...