@bajabiri Kilichomfanya putin kuvamia Ukraine kushindwa kuweka mtu wake kwenye uraisi sasa wakifanya uchaguzi si lazima atamwaga hela nyingi sana kuweka watu wake na kuhack matokeo.
@bajabiri Waliojenga stendi walitafuta hela ya kupiga tu. Kama ingekuwa ni wazo lenye ufanisi kusingekuwa na sintofahami hii ya leo. Alafu Dar ni mji mkubwa sana kuwa na stendi moja kuu kwa vitongoji vyote ndo mana wafanyabiashara wamejiongeza serikali inatakiwa iwafate wafanyabiashara
@somebarry Kuingia mbez kuna faida gani kama ni collection fee walipie tu huko waliko waendelee na safari sizani kama hawa mabwana wanakwepa kulipia ushuru wa getini
@MarekaMalili Hao lazima wakunyime amani huwez jua walikupa dawa za usingizi na usijue walikuwa wanakuangalia unakoroma tu huku wanakunywa ile pombe yako uliyobakiza
@salim_alkhasas Magu kavunjia nyumba watanganyika pale road reserve ili kuacha eneo la barabara kwa miaka ijayo watu walikufa kwa presha pale, leo hii wasio watanganyika wamepewa yale maeneo road reserve wanashindana kujenga ma petrol steshen na matakataka ya malori mnasema magu alikuwa m……….
@dully_ndyeta@MarekaMalili Kwani Nyerere alikuwa hawaoni wakina bokasa na wakina mobutu seseseko walivyojenga mahekalu ya kufa watu? Siyo kila mtu ana hicho kiwango cha kulaaniwa.
@HarryGM54@SalimuIbwe@Kiganyi_ Sawa master. Wote sisi watanganyika tuna mashamba yalianza tangu 1837 huko kuanzia babu yake babu hadi leo vitukuu. Sijui kama brela wana hizo taarifa