At Davos 2026, French President Emmanuel Macron sent a strong message: “Europe prefers respect to bullies”. He stressed the importance of rule of law over force and called for global cooperation instead of intimidation.
#EmmanuelMacron#Davos2026#Europe#RuleOfLaw
✊🇪🇺
Haji Manara 🎤Timu za Simba na Yanga inasemekana huwaga zinapangiwa first half, kwako ilikuaje kipindi ulipokua kocha wa Simba
Juma Mgunda 🎤 Nilipokua kocha wa simba si kuwahi kupangiwa first half hayo mambo Simba hayapo
------------------------------------
Timu gani hio kocha anapangiwa first half 😁

Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Kwa kutegemea mazungumzo na watu 6,205 katika siku 153, Tume ilifichua kuwa fedha zilitumika kuwahamasisha washiriki. Hii ilikuwa sehemu ya mpango wa kuratibu machafuko. Ripoti hii ina uaminifu mkubwa kutokana na ushahidi huu. #SautiYaWatanzania#TumeYaUchunguziReport