Ujenzi na uboreshaji wa viwanja vya ndege ni nguzo muhimu katika kufikia Dira ya Taifa 2050.Kila kiwanja cha ndege kinachojengwa leo ni hatua ya kuiunganisha Tanzania na fursa za Dunia.🇹🇿
Katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki kuu ya Tanzania (BOT), Imeidhinisha noti Mpya ya Elfu 10 yenye sura ya Mhe. Rais, Profesa wa Uchumi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaanza ktumika mwakani.
Heri ya miaka 60 ya BOT.