Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni fursa ya biashara, uwekezaji, teknolojia, elimu, na maendeleo ya kiuchumi, ikilenga kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Urusi. Habibu Mchange amepongeza ziara hiyo kama mkakati wa diplomasia ya uchumi
Hemedy Phd 🗣️
" Mahensam boy wenzangu wananielewa ukiwa Hensam boy mademu huwaga hawaji kirahisi, ndo maana tunatumia nguvu nyingi ku washawishi mademu watuelewe maana huwaga hawatuamini kama tupo serious au tumekuja kuwachezea, kuna muda uhensam unatesa wanangu"
------------------------------
Hii iliwahi kukukuta pia ,😁

Hakika, kukuza sekta binafsi ni njia sahihi ya kuongeza ajira, kuimarisha uchumi na kufungua fursa zaidi kwa vijana wa Kitanzania. Uongozi wa Rais Samia unaendelea kuweka mazingira rafiki kwa biashara na uwekezaji.
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anaendelea kuongoza mageuzi ya mifumo ya kifedha, yakiongeza ufanisi, uwazi na upatikanaji wa huduma kwa wananchi na sekta binafsi.