EP ya Konde Boi hii apa ndani ya @BoomplayMusicTZ unakula ngomaaa baada ya ngoma. Unafeli wapi mwanangu sasa easy tu ingia playstore download app yako wapi earphone zako au kama uko getto unawasha bluetooth unakula kwenye ufa unapunguza stress za sku nzima.
#BoomplayxWarner
Boomplay na Warner Music wameingia mkataba wa makubaliano ya kusambaza muziki wa wasanii wa kimataifa kutoka catalog ya Warner Music kama Cardi B, Bruno Mars, Burna Boy, Coldplay, Gucci Mane, Sia, Trey Songz, TY Dolla $ign etc https://t.co/dqGaGwyRMz #BoomplayxWarner
kuna vitu sio vya kuoverlook ni nafasi za kujiongeza zaidi mfano hili la @BoomplayMusicTZ kuleta mikataba ya kimataifa kwa wasanii wetu.... wajiongezee..... #BoomplayxWarner#boomplay
Kitu #BoomplayxWarner hapo Ni kiazi pekee ndo atambwela Ila wajanja wote lazima tuwe makini na @BoomplayMusicTZ pamoja na @warnermusic coz Ni mseto wa kizazi Sana huu...!! Achana na ule mseto wa bamia na mahalage huu Ni mseto wa ndizi na utumbo na maziwa den pembeni Pana asali!