Mambo vipi wadau?!
Naitwa T-Boy nataka nikupe dili kali kila siku ukitembelea Page yetu. Watag wana wasipitwe na hii kisha RT video hii ujiwekee nafasi ya kujishindia zawadi.
#Mudawakukiwasha
@__abdulazack @ClatousCC Sawa lakini hiyo haibadilishi ukweli kwamba kuna kangaroo milioni 48 nchini Australia na watu 3,457,380 nchini Uruguay. Kwa hivyo ikiwa Kangaroo wakiamua kuivamia Uruguay, kila raia wa Uruguay lazima apambane na Kangaroo 14.