KUNA BONGE LA PHONE CALL NIMEPATA DAKIKA HII. NIKIAMKA ASUBUHI CHA KWANZA NI VIDEO………
NAOMBA WANANCHI TUSIICHIKIE KWANZA CHADEMA. MAMBO NI DIPU KULIKO TUNAVYODHANI….
See you asubuhi!!!
There are blessings God wants to give us in this life, in the present day. If we think they are all in the future, we will not exercise our faith to see their fulfillment in our lives now. Where faith is not applied, fulfillment cannot be given.
Watu wanaweza kuwa na mfanano sawa kwa muonekano lakini sio roho, falsafa na mtizamo. Hapo ndipo tofauti inakuja .
USIJIPE THAMANI KWENYE MAISHA YA WATU
Ni Kiu Yetu Kuona Wale Walio tutabiria Mabaya Wanayaona Mazuri Yetu, Tena Si Katika Mhimili Wa Kisasi Hapana Ila Lengo Ni Kuwakumbusha Kuwa Tunaweza Kuwa Chochote Wakati Wowote Bila Kujali Zile Nyakati Za Huzuni Tulizo Umizwa Huko Nyuma.
Tukapambane Sasa . Good Morning Fam 🙏
Jobless akipata temporary job anakuwa anadharau tena wale jobless wenzie anaona kama hawajitumi,,, muda ukishaisha wa mkataba anakuja tena kuwa mpole kwenye kijiwe.. 😄 😄