@HKigwangalla mh Tunahitaji mkutano nawe wananchi wa makongolosi Wilayan Chunya Tofaut na Operation uliyo pita kufukuza Wananchi katika baadhi ya Mapori Madogo kwakuwa wewe ndo mwenye dhamana ya ardhi na hitaji kubwa na dhumuni la mkutano huu ni kuomba kuongezewa eneo la kufanyia