Anza Leo. Usingoje perfect moment anza na uliyonayo.
➮ Nenda Google uka-search: “𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗗𝗜𝗚𝗜𝗧𝗔𝗟 𝗚𝗔𝗥𝗔𝗚𝗘”
↳ Ingia kwa email yako
↳ Chagua skill yoyote ya digital unayoipenda
↳ Anza course (ziko simple + step by step)
↳ Fanya assignments zote
↳ Ukimaliza unapewa cheti (certificate)
➮ Weka hicho cheti kwenye LinkedIn yako
➮ Tumia kuomba kazi au freelance gigs
Kozi zote ni 𝗕𝗨𝗥𝗘. Hakuna kisingizio.
Lakini ngoja nikuambie kitu ambacho watu wengi hawasemi…
Course peke yake haitokupa pesa.
Skill + matumizi yake ndiyo inaleta pesa.
Ndiyo maana tunafanya hii kama CHALLENGE 👇
There's a website called transcription staff. Your main job is to transcript audios. Pay is between $6 - $27 per audio hour. There is also a full time staff bonus of 30%. Check it out if it suits you.
“When a rich man is sick, the poor come to sympathize. When a poor man is sick, he recovers and later goes to tell the rich that he was sick.”
— Chinua Achebe
Kama unaeza train AI kuna hii site inaitwa SILENCIO. Wanalipa $20/hr bora unaeza ongea fluent English alafu inatoka kama. Ni safi sana bora tu iko na proxy, internet na antidetect browser strong. How do you open it?
Thread 🧵👇
7 BUSINESS IDEAS THAT NEVER FAIL:
1. Solve rich people problems.
2. Sell before you build.
3. Price based on value, not cost.
4. Obsess over customer retention.
5. Automate the boring parts.
6. Fire bad clients fast.
7. Reinvest profits into growth.
HR is not a support department.
It’s a risk management system.
It’s a culture builder.
It’s a growth driver.
Companies that ignore HR
pay for it later.
#StrategicHR#Leadership
Nilikutana na mchina 1 alikuwa anahitaji Router. Katika kupiga nae story nikamuuliza kwanini nyie kiuchumi mpo juu?. akaniambia "don't overthink it, just copy what already works".
Kwa kifupi jamaa alimaanisha tusipoteze energy kutaka kuvumbua new ideas, just copy&paste.
Kama utafutaji wako unafanya kupitia MITANDAO YA KIJAMII basi hakikisha unawafuatilia “WAPOPO” wanaijeria kwa ukaribu sana utakuwa unajifunza mengi sana kila siku.