Kuelekea mwezi wa Ramadhani ndoa zimekuwa nyingi saana huku mtaani asee... Yan ukishangaa kidogo tu unakuta mpezi wako amepostiwa kashafunga ndoaa ๐คฃ๐คฃ
Even a sea is too rough as fishermen can't go to sail, a smart ones don't wait! They mends their nets and sharpen their tools preparing for moment when storms breaks.
Because even in stillness, there is progress. It's not about sitting idle, it's about building what's next....โ๏ธ
EQUALITY vs EQUITY
EQUALITY: Just a SAME distribution of available resource(s) to each side(s)
EQUITY: Distribution of available resource(s) regarding to the NEED(s) of a certain side(s)
Ni Siku Nyingine tena ya Kumshukuru Mungu kwa Kutujaalia Afya na Uzima bila Kusahau Kukumbushana Kuwa Hakuna Kitu Chochote Kitakachowatokea Watu Waliokataa Kukusaidia, Hivyo ni Bora Kujipambania Mwenyewe ili upate vyakwako...โ๏ธ
Ni Siku Nyingine tena ya Kumshukuru Mungu kwa Kutujaalia Afya na Uzima bila Kusahau Kukumbushana Kuwa Hakuna Kitu Chochote Kitakachowatokea Watu Waliokataa Kukusaidia, Hivyo ni Bora Kujipambania Mwenyewe ili upate vyakwako...โ๏ธ
Mara Nyingi Mafanikio Hupita Katika Njia Kuu Tatu ambazo ni;
1. Bahati
2. Kipaji
3. Jitihada Binafsi
Kama Haujajaaliwa Kupita Katika Njia ya 1 & 2 na pia Ukashindwa Kuitumia Njia ya 3 Vizuri, Basi Jiandae Kuyaishi Maisha ya Kutumikishwa Ndani ya Masharti Magumu!
@Kango_tz ..โ๏ธ
Hatakama Elimu Haijakulipa, Vyeti Vimekwamia Kabatini Lakini Usiache Kuwahasa Ndugu Zako Wanaokufata Kuhusu Kusoma!
Katika Dunia ya Leo Elimu Inamsaada Mkubwa Saana!
@assenga_online Hili swala ni lakuliangaliwa kwa umakini saana! Kwakweli Kuendana na soko la sasaa la ajira ni dhahiri kabisa elimu ya kidato cha 5&6 haina manufaa yoyote kwa vijana wetu hasa kwa ambao wanasoma masomo ya sanaa