@Cowwbama@anuskills3 Kila siku unaweka 10k kwa odds 2. Kwa week unakula mara 3 alafu unaliwa mara 4. Ukipiga mahesabu umepoteza 10k hapo. Hamna faida😂😂
Gift set nzuri unaipata ikiwa printed na jina , logo au ujumbe mfupi wa maneno.
Tsh 125,000/=
Wasiliana nasi tukuprintie ya kwako au kwa ajili ya zawadi kwa watu wako.
📍Sinza Palestina
☎️ 0786445451
@SWEBE_10 Ukifatilia, Chelsea huwa haipati clean sheets kama ikianza na badiashile na tosin katikati. Clean sheets hupatikana akiwepo chalobah na fofana tu