Allaāh amesema " Na miongoni mwa ishara zake ni kwamba Amekuumbieni wake zenu kutokana na Nafsi zenu iLi mpate utulivu kwao, Na akaweka baina yenu MAMPENZI na HURUMA".
Ar_rum 30:21
Aya hii inaonesha Msingi wa Ndoa ni UTULIVU (sakinah) MAPENZI (mawaddah) na HURUMA (Rahmah)
Ukifanya Maamuzi magumu kwenye maisha lazima yakutenge na baadhi ya watu. Na kama ukiwa na woga wa kupoteza watu, huwezi kusimama au kufanya unachotaka kwenye maisha..