Team yetu ilipata nafasi ya kuongea na wataalamu wa Afya pamoja na wafanyakazi wote wa @mariestopestz kuhusiana na swala zima la Hedhi, Hedhi Cup, HedhiApp pamoja na changamoto nyingine zilizopo katika kipindi cha Hedhi..Kwa pamoja tukishirikiana kusukuma gurudumu la maendeleo
It was such a pleasure to be part of this memorable day of international day of the girl child @jokateM thank you so much for your hospitality @eastafricatv@earadiofm the event was such a success
#namthamini#nasimamanaye
@BintiSalha Ni kweli kabisa, elimu na ufahamu zaidi wa bidhaa hii bado ni Mdogo lakini Tupo kwa ajili hiyo na tunaamini baada ya muda watanzania wataelewa na kuendelea kuipokea vizuri
Great to be on the ground in Tanzania last week with menstrual product suppliers and @i4idtz. Together we're reaching rural women and girls and expanding choice by changing sales practises, launching lower cost products and coming up with creative distribution solutions.
Morogoro mji kasoro bahari tuonane tarehe 14 pale oasis hotel
Tupeane Elimu ya hedhi cup na ujue ni kwanini tumekuja na msemo wa ANZA UPYA NA HEDHI CUP
Tutakuwa na madaktari wa afya ya uzazi lakini pia na watu… https://t.co/UHIjHSdvul
Hedhi Cup itakupa tabasabu la kudumu na kukuacha ukiwa huru uwapo kwenye siku zako za Hedhi..
Inadumu kwa miaka mitano, ni rafiki kwa mazingira yetu, utaivaa kwa masaa nane mpaka kumi na mbili bila kubadilisha https://t.co/mPwXPp1iSv
SAA KUMI NA MOJA NA NUSU JIONI TUKUTANE HAPA KWENYE INSTAGRAM PAGE YETU KWA ELIMU ZAIDI NA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATUMIAJI WENGINE....
USIKOSE!! https://t.co/gSvlEVortE
Tukitoa ELIMU ya Hedhi Cup kwa washiriki wa @pandainitiative katikati ofisi za @dottanzania.
Tarehe 29 tutakuwa LIVE hapa pamoja na gynecologist (daktari wa afya ya uzazi pamoja na watumiaji wetu wa hedhi cup… https://t.co/167eYRRfJ0
Kama upo maeneo Dar es salaam fika maduka yafuatayo utajipatia Hedhi Cup yako.
~
Maduka yote ya JD PHARMACY
@vikiintimates @juddyfashion @kwetu_african_design
Horoizon Pharmacy -Morocco
Poa supermarket
Bukete
Andrewson- Sinza madukani
Nakiete
London health
TSN supermarkets