Umbo la Uso (Facial Bone Structure): Upande wa kushoto ana muundo wa uso wa mviringo (round face structure) mwenye mashavu yaliyojaa, wakati wa kulia ana muundo wa uso ulio mrefu kidogo au wa yai (oval shape) wenye kidevu kilichochongoka zaidi.
Wawili tofauti. 📌
@heavychampion_@EsirEid@mchumimrembo Umbo la Uso (Facial Bone Structure): Upande wa kushoto ana muundo wa uso wa mviringo (round face structure) mwenye mashavu yaliyojaa, wakati wa kulia ana muundo wa uso ulio mrefu kidogo au wa yai (oval shape) wenye kidevu kilichochongoka zaidi.

Sio physics tuu-angalia dogo anavyosimulia SOMO LA HISTORY kama unaangalia movie.
Kubalini kataeni hawa madogo wa sasa GEN Z uwezo wao wa akili upo juu sana kuliko nyie wazee wa KALE.
Hata walimu wenu wa zamani walikuwa JAU asilimia kubwa.
Hapa NECTA wakikuambia UFAULU UMEPANDA UTABISHA?