Ndugu zetu mliopo kijijini siku moja moja muwe mnatupigia simu na kutujulia hali tu, sio kila siku mkipiga simu mnaomba hela tu, mjini kuna maisha magumu yanayohitaji faraja na maombi kutoka kwenu na sio kuomba hela tu bila kujua tunazipataje huku mbwa nyie ππ€£