Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Haya tumeambiwa wangapi wanalipa kodi. Laki 1? 2? 5? Ningependa kujua wangapi wanakula kodi zetu na kusaza. Maviii 8, misafara ya kafara, posho za kijikirimu (si kujikimu) n.k. Napenda kulipa kodi kwa ajili ya matumizi ya serikali kwa faida ya wananchi si matanuzi.
Habari za mchana. Ahsante kwa ushirikiano. NAFUATILIA.
Shukrani kwa wananchi wote kuendelea kutupa ushirikiano kwenye kupambana kutokomeza ukatili wa kijinsia na kwa watoto. Naomba mwenye ushahidi pia mpe namba yangu ya 0765345777 ANIANDIKE UJUMBE nitampigia mwenyewe kwa ushirikiano zaidi 🙏🏽
SERIKALI imegoma kukutafuta,BUNGE limegoma kukutafuta, MAHAKKAMA imegoma kukutafuta, ILA tunajuwa MUNGU hajachoka kukupigania, maombi yetu ni kuwa elewa ULIPO popote wewe ni MSHINDI. #FreeDeusdedithSoka
…. Kila mwenye Sauti aipaze, kila mwenye Bundle apost kupiga kelele kuhusu SOKA na wenzie.
Hatma ya Maisha yao iko mikononi mwetu sasa. Kindly MSIPUUZIE.
Eleweni wanachotaka alafu tusifanye hivyo
👉🏽 Wanataka kututia hofu hasa vijana waogope kutangaza maandamano 🙄
👉🏽 Wanataka tukate tamaa tusimdai @DEUSDEDITHSOKA wammalizane naye kimya 🙄
Sasa usiku huu hadi alfajiri kila mtu aachie ppst moja na bango
#FreeDeusdedithSoka
Bahati nzuri Deusdedith alishasema akipotea wahusika ni polisi
Hakuna namna wataweza kujivua hili na mhusika namba moja ni OCCID Temeke
Kuhusu maandamano wajiulize kama protest ya wamaasai walishindwa kuzuia ya vijana nchi nzima ikilipuka wataweza!!?
#FreeDeusdedithSoka
#FreeJacobMlay
#FreeFrankMbise
#FreeThemAll
Tulioonja maumivu ya kunyimwa haki ya kuishi tunaelewa kwanini Mwabukusi anatakiwa kupata kura ya ndio kutoka kwa mawakili wote nchini.
Repost 500 kuonyesha kiu yetu hii ikatimie.✊🏾
Mawakili nina ombi moja kwenu kuelekea uchaguzi wa TLS tarehe 2/8/2024.
Najua msingi mkubwa wa taaluma yenu ni kutetea HAKI. Katika uchaguzi wa TLS wananchi wa kawaida hatutaweza kupiga kura ya kuchagua nani awe raisi ila nyie MAWAKILI.
Sisi wananchi wapenda haki tusio na taaluma ya UWAKILI tunaombi kwenu, tunaomba mutuchagulie Mwabukusi kuwa Raisi wa TLS.
Tumeshaona mapambano yake kadhaa ya kizalendo kwa nchi ambayo alifanya kwa mapenzi yake ya dhati kwa nchi yake bila kulipwa. Kuna wakati alipewa kesi ya "UHAINI" yote ni kwenye harakati zake za kupigania nchi yake.
Tushasikia matamko yake kadhaa dhidi ya wale waliokandamiza haki za wengine kwa sauti ya ukali bila kuogopa vyeo vyao. Huyu ndie mtu sahihi kwetu wananchi na wapenda haki.
TLS walitaka kumnyima haki yake ya kugombea uraisi kwa kumkata jina kwasababu wanazozijua wao ila alipoenda mahakamani ameshinda na mahakama imemrudisha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi.
Wagombea wenzake Mwabukusi ngazi ya uraisi tayari wameshafanya kampeni zaidi ya week mbili, na imefika hatua mpaka wamechoka sasa hawapost tena.
Mwabukusi mpaka leo ana siku 4 tuu za kupiga kampeni, lakini sisi hatutaki hii kuwa kama sababu ya kujitetea hata ingebaki siku moja kameni ingepigwa na haki ingeshinda.
Tuna siku 4 tuu za kupiga kampeni, tunawaomba mawakili mkatusaidie tarehe 2/8 HAKI IKASHINDE tena.
Wananchi naomba repost 1000 leo weekend tutume salamu kwa mawakili wajue msimamo wetu.
HAKI, HAKI, HAKI.
Sativa17✍🏿
Tanzania kuna tunaojulikana(watekwaji), wasiojulikana (watekaji).Tunaojulikana IKITOKEA miili yetu ikapatikana tunazikwa,kama bado majeruhi tunatibiwa na ndugu au Serikali kwakuwa Serikali inatujua, huzuni ni kwamba hata Serikali HAIWAJUI wasiojulikana kama ambavyo sisi HATUWAJUI
Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha.
Hustlers @WilliamsRuto bado tuko vizuri tunaongoza now tupo 51%kwa kupata kura milion 4,958,206 kati ya kura milion 9,566,369. Wakati huo mpinzani wetu Odinga ana kura milion 4,545,896 sawa na 47%. Tunaongoza kwa tofauti ya kura laki 4. Sasa tunahitaji kura laki 6 tupewe kombe.