@chiefodemba Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ni weupe kichwani!! Marais wanaenda Arusha kupiga picha! Mwenyekiti wa sasa wa EAC alikuwa hahudhurii mikutano ya EAC! Mh Hasanuu hakuna tatizo la kidiplomasia kwenye matanshi yako?
@prossoff Mapenzi ya wadogo zetu wa secondari, ila ni vizuri kupigwa matukio mapema hivi inakujenga na unakua huku ukiwajua wanawake no viumbe vya aina gani,ila hii ya kumpenda mtu halafu yeye anampenda rafiki yako inauma hii dah
MUENDELEZO.......
Basi nikawa naongozana na kundi kubwa la polisi kuelekea nje ya geti
nilivyoona wanafanikiwa kunitoa kisataarabu ndani ya eneo lao la wizara ya mambo ya ndani, ghafla nikasikia sauti ikiniambia rohoni..
"Bonny unakubalije kutoka kinyonge (kizembe) hivyo..?"
Mzuka ukapanda nikashika geti nikasama "SITOKI,NIUENI SASA"
๐๐๐
MUENDELEZO.......
Basi nikawa naongozana na kundi kubwa la polisi kuelekea nje ya geti
nilivyoona wanafanikiwa kunitoa kisataarabu ndani ya eneo lao la wizara ya mambo ya ndani, ghafla nikasikia sauti ikiniambia rohoni..
"Bonny unakubalije kutoka kinyonge (kizembe) hivyo..?"
Mzuka ukapanda nikashika geti nikasama "SITOKI,NIUENI SASA"
๐๐๐
@vuvuRango @Seif_Almeida@MabalaMakengeza Yes yuko sahihi
Katika hili
Atakua mchoraji rasta Man
Wana imani fulani
Kwa mujibu wa imani ya kirasta yupo sahihi
@rollymsouth Sidhan km yuko such strong ila naona kuna vitu tu havielew direct kulingana n umri wake hii ataishi nayo san n kadri anavyokua ndo atazid kuelewa
@MarekaMalili ๐๐๐๐ Sema ukiwa kichwa hakiko sawa ile kitu kupiga cha pili tu ni mziki yaan lazima uwe na mtu anajua una changamoto gani??
Hawa watoto wa mjini watajua jamaa huna nguvu za kiume vizuri
Mwl Nyerere alishawai kusema Jambo likiongewa kwa lugha ya kingereza hata kama ni la kijinga watalisifia tu, Hii mentally hadi Leo inatutafuna yaani kuwa Mweusi kuna tatizo gani?
Black is beautiful and nothing wrong by being black, mnawafanya watoto weusi wakose confidence
@NyatworiG@FestoNgadaya Hizo zote sio sababu
Wazee someni acheni kudanganya watu
Hapo hakuna sababu hata moja ya msingi
Madingi walikua wanakunywa pombe mpaka wanalala huko ila walikua wanazaa watoto sio chini ya 10
@siadevinci Ata hivyo hapaswi kuaminiwa hata kidogo
Maana yule aliongea nae
Alisema ameongea
Productive conversation
Kwahiyo
Hata Russia hapaswi kuamin hii kauli yake ya huyu jangili