@Roma_Mkatoliki .....Tumezungukwa na ndugu wenye pesa na wapo kitengo,
Ila tukipata shida tunasaidiwa na wana tu wenye upendo ....
Msiba wa mkoa huu 💔🕊️
@EddoLalika Rest easy Tiger Mnyama... Umeinsipire wengi kwenye game. Umeibeba Iringa mabegani for so long. Ulitufunza Upendo.
... Maisha gani wanangu... Nawapa Hi , nawasabahii 🕊️💔
@HowIWish5@PrinilDeen Kwa saaa duniani videi analys, opposition analyst na data analyst ni kazi ambazo kwenye football huwezi kaa mwezi hujapata kazi
Wanahitajika mno