Imekuwa fahari kwangu kualikwa na Kamisheni ya Uchumi ya Afrika kuwa mmoja ya wanajopo kwenye mjadala kuhusu “Uzoefu wa vijana, ubunifu na mchango wa biashara zinazoendeshwa na vijana katika kufikia malengo ya Eneo Huru la Biashara la Afrika”
Umekuwa mkutano wenye mafunzo mengi kutoka kwa vijana makini wajasiriamali waliotokea pembe zote za bara la letu
Tumepata mwanya wa kujadili mambo kochokocho kama vipawa walibyonavyo vijana kwenye ubunifu, na umuhimu wa uhusiano wa ujasiriamali na ukuzaji wa uchumi katika kuliimarisha Eneo Huru la Biashara la Afrika.
Attending a cancer Summit for the betterment of cancer care in East Africa and beyond...Cancer patients are living longer than never before..Thank you for all those keeping the fight alive..
@MalemboLE@USAmbTanzania@ummymwalimu@MuhimbiliTaifa
Siku njema ilikua kuongelea lishe bora na saratani...Takribani asimilia 30 mpaka 50 za saratani zinatokana na lishe isiyo sahihi..Chukua hatua..
Unakula nini na kinatoka wapi?
Familia ya #UgaliElimu imekuwa kubwa.
Chakula cha asili na @MalemboLE
Chakula bora cha asili hakitenganishwi na Maendeleo ya Binadamu kwa vipimo vyake vikuuu ( yaani HDI-Human Development Index). Kimsingi chakula bora cha asili ni msingi wa
A. Wastani wa umri wa kuishi
B. Kiwango cha Elimu
C. Vipato vya watu.
HDI kwetu familia ya #UgaliElimu msingi wake ni chakula bora cha asili. #ChakulaKamaDawa
Maambukizi ya kirusi cha Human Papilloma Virus ndo huweza ambukizwa baina ya watu...Ukiwa na hayo maambukizi unakua na hatarishi ya kupata saratani kadhaa.Muandishi atazame original video atoe nukuu sahihi.#medicaljournalism
#HPV#oralsex#infectionandcancers
#michaeldouglas
Comparing the Somalia described in the Zanzibar Chest by Aidan Hartley to what it is today, is clear testimony that leadership from within Africa is what will transform the continent.
Hapa ni Tanzania..
Na huu ni muonekano wa Barabara ya Mbeya - Chunya - Makongorosi (KM 111). Barabara inayopatiwa fedha za matengenezo na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mfuko wa Barabara
#tanzaniaunforgettable#ssh#bodiyamfukowabarabara#kaziinaendelea
@Kili_Lager The toilets at the stadium were pathetic.42.2km runners queed to use one and only functional toilet that had no water before the race. It's a shame and a threat to public health in sports
@KiliMarathon