Ukiona kuna ufa ama gape kubwa kati ya hali yako ya sasa na uhalisia unaoutamani kuwa basi fahamu ya kuwa kuna mipaka ambayo unatakiwa kuibadilisha kwenye muundo wako wa fikra yaani (Mindset) #KilimoNiAjira
#UgaliElimu kila jumamosi hapa @MalemboFarm HQ, tunakula Ugali wa unga wa mtama mwekundu na muhogo, mboga saba na baada ugali tunakuwa na mjadala kutegema na Mada ya siku husika.
#KilimoTips
Meet our champion in Agribusiness for this quarter.
This is Giancarlo a student of IST GRADE 5. He is passionate about agribusiness and has practiced tomato production through both greenhouse and open field technologies. He is mentored by @MalemboFarm and we are very happy we could be of assistance to his project.
@MalemboFarm
@MalemboIntern