"Ipo tofauti kati ya ndoa na harusi. Harusi ni tukio, na ndoa ni maisha. Wengi wanahangaika na tukio, wakisahau kuwa kuna maisha baada ya tukio." ~Togolani Mavura.
@MrDepalitto7 Kaka jarb kufanya utu msamehe mtoto wa watu kumbuka na yeye n binaadamu cjui mmekosea nn hlo n juu yenu lkn jarb kufanya utu maisha haya kaka yanabadilika kuna leo kuna kesho ya mungu mengi kaka fanya utu msamehe na mungu atakubariki mpe amani mtoto wa watu