kwa uzingativu wa kanunu ya 32:1(1.1) ya First League kuhusu kutofika uwanjani, Kamati imeamua kuipa ushindi na goli tatu timu ya Rhino Rangers pamoja na kuishusha madaraja mawili na kuitoza faini ya shilingi milioni mbili timu ya Nyaishozi
#mitaaimekubali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa agizo kwa Waziri wa Katiba na Sheria kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.
#mitaaimekubali
Leo ni siku ya Wanawake Duniani na siku hii huadhimishwa kila Machi 8 na kaulimbiu ya mwaka huu wa 2022 inasema ''Usawa wa Jinsia Leo kwa Mendeleo ya Kesho'', ikiwa ni kutambua mchango wa wanawake na wasichana duniani kote
#mwanamketunu2022#weweniwathamani#mitaaimekubali
Mwenyekiti wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu amemtangaza Ndg Emmanuel Cherehani kuwa mshindi wa kiti cha ubunge wa Jimbo hilo kupitia tiketi ya CCM @ccm_tanzania
Ndg Emmanuel Cherehani ameshinda kwa asilimia 96.42 ya kura zilizopigwa.
#tune#rahainaendelea#MasafaChaguoLaWatu
Leo atasikika @Nacha_Ousam kwenye #doubleCS.
Muziki wa singeli ni urithi wetu, hujawahi kumsikia kabisa @nacha_ousam kwenye muziki huu.... Atakuwa na @mzeewabwax_1
#tune
Hata hivyo DC Macha atatoa maelekezo kuhusu madaftari ya maombolezo ambayo yameamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuwa yawepo kwenye ngazi zote za kiutawala kote nchini.
Ibrahimovic, aliyefunga jumla ya mabao 62 akiwa na Sweden, alitangaza kustaafu baada ya Mashindano ya Uropa ya 2016
kocha wa Sweden, Janne Andersson amemjumuisha Ibrahimovic katika Kikosi chake kinachojiandaa kukabiliana na Georgia na Kosovo katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia
Akizungumza na wakazi wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, Makamu wa Rais amesema kuwa tatizo hilo limemalizika baada ya mitambo iliyokuwa na hitilafu kufanyiwa matengenezo.