Natumaini nyote mmekuwa na Saba Saba njema.
Siku inayotukumbusha nguvu ya biashara, ubunifu na bidii katika kuijenga Tanzania yetu.
Tuendelee kubuni, kuzalisha na kutengeneza fursa kwa wengine.
Heri ya #SabaSaba. ๐น๐ฟโค๏ธ
@28_prb Mzee maisha yetu ni ya kutoka kila siku kwenda kupambana kujitafutia mkate. Leo haujaingia job means ni hasara tayari kuanzia mfukoni kwako. Na anaesababisha haya yeye hayupo nchini. Kwanini wasije sasa tuchore mabango tuandamane kwa amani sio kupost tu mitandaoni
Hakuna mwekezaji mwenye akili atawekeza Tanzania kesho waamke wamtekw mara wa freeze account mara akabiliwe na kuhujumu uchumi watu wanafata sera bora na security
La Diesel ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Gear 6 Manual Transmission
Ubaoni 220 plus turbo mamiyake.
Sijui utanambia nn nikachagua Hilux Juu, ya Hii Nissan wazee Inakwenda.
๐๐๐