Nikupongeze sana kwa hili, huu ni mfano hai wa kijana anayejitoa kwa ajili ya kufanikisha wengine na hiki ni kielelezo kizuri kuwa tuna Taifa lenye vijana wanaojali kwa dhati ya mioyo yao na ambao wako tayari kujitoa kwa hali na mali kusaidia wengine kujikwamua kiuchumi na kutoka kimaisha. Na hili limekuja wakati muafaka tunavyoelekea kwenye wiki ya vijana kitaifa.
Nitakushika mkono kwa kutoa Milioni 3 ili kwa pamoja tuwasaidie vijana hawa na kuwatoa kwenye vikwazo wanavyokutana navyo.
Kila kijana wa kitanzania aki share ujuzi na mwenzake bila choyo wala hiyana kwa moyo mkunjufu kwa pamoja tunaweza kusonga mbali zaidi.
Utanisaidia kujua unapataje mchango wangu ila kwa kukusaidia pia huwa napatikana Makao Makuu ya UVCCM Taifa, karibu pia nikukabidhi.
Kutoa ni moyo na sio utajiri.
Wasalaam,
JUM 💚
Wananchi wa tarafa ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro wameendelea kuishi maisha magumu kutokana na Kushambuliwa na wanyama wakali kufuatia matukio yanayoendelea kutokea katika eneo hilo.
waziri wa kilimo wa Tanzania Mheshimiwa Hussein Bashe amesema uuzaji huo wa mahindi Kwa serikali kuwauzia Zambia hautawazuia wafanyabiashara binafsi kuendelea kuuza mahindi nchini Zambia bali wanapaswa kuzingatia Sheria zilizopo.
@bashehussein
@wizara_ya_kilimo
@nfra_tz
Waziri wa kilimo wa Tanzania Mheshimiwa Hussein Bashe leo amesema serikikali itaanza kufungua dirisha la ununuaji wa mahindi kuanzia MWEZI wa SABA mwaka huu
@bashehussein
@wizara_ya_kilimo
@nfra_tz
@Sirjeff_D Sikutaka kujibu, ila nikikaa kimya maana yake nahalalisha unachokiongea, hiki ndicho mlichonifanyia, kunipa mic than kuniblock nisiweze kuingia tena nionekane nimekumbia
Get well soon brother @Sativa255, niombe vyombo vinavyohusika na uchunguzi vifanye uchunguzi na waliohusika wachukuliwe hatua, UVCCM tunaamini katika falsafa ya Mh Rais ya 4R kwa lengo la kuongoza nchi kwa haki na Demokrasia, Tuendelee kumchangia 🙏🏽🙏🏽
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta HAKI ya SATIVA. @PMadeleka@Sativa255
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 25,2024 ameshiriki mkutano wa baraza la madiwani la Jiji la hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali (CAG) za mwaka 2022/2023.katika ukumbi wa Arnatoglo Mnazimmoja.