@Samalentips Tumeshauliwa saanaa kwa ajili ya Haki. Damu za ndugu zetu 10,000 zinatulilia kutoka mavumbini na bado madhalimu wetu wapo wanadunda mtaani.
Tuogope tusiogope wanatuua tu, je sisi tunafanya nini?
Uanaume sI kufa, ni kuwa tayari kuwakabili na kuwadhibiti wauaji kabla hawajatuua.
@UN@UN_Women More than 10,000 people were killed in Tanzania on October 29th. Yet no fair, inclusive and transparent investigation has been issued upon the illegitimate government that killed our mothers, daughters and sisters.
Who will fight for their justice.๐ข
https://t.co/vBieimoxo1
@antonioguterres@UN Remember Tanzania, Remember Tanganyika.
On October 29th more than 10,000 citizens were murdered in cold blood. We demand a transparent, fair and inclusive process towards justice, accountability and ultimately peace. Stop playing, people died.
Answers๐
https://t.co/vBieimoxo1
@mangekimambi Ushujaa si tu kuwa tayari kufa kwa ajili ya Haki, Ushujaa ni kutambua kuna muda itabidi umuue muovu ili kuitetea Haki.
CHADEMA Mdude yupo wapi?
CCM Polelpole yupo wapi?
Hawa wote walisimama kuitetea Tanganyika kwa sauti ila Leo wapo wapi?
Kuongea tumeshaongea IMETOSHA sasa ndio
@HildaNewton21@lifeofmshaba mTanganyika ukishaingia kwenye harakati za ukombozi tambua ushakuwa target.
Hakikisha:
Mazoezi uwe fit,
Ishi kimachale,
Lala jicho moja wazi.
Ni vema uwe watu kila saa,
Wakija kukuteka acha unyonge, ondoa mmoja tu (wengine tubakishie na sisi),
Soma na tafiti sana,
Sali muda wote.
@MariaSTsehai Mmmh! hali ni mbaya. Halafu Tanganyika ndo inapotea hivyo. Huwezi ukasikia Zanzibar inauzwa hata hatua moja. Ardhi yao ni ya kwao wenyewe. Sisi mpaka tunafukuzwa ili iuzwe, Daah!
Naanza kuelewa kwa nini ilibidi Nyerere aache ualimu wa serikali afocus kwenye harakati za ukombozi.
@mangekimambi Nguvu ya vita na vitu viwili:
1. Resources
2. Will to fight.
IRGC baada ya kuona resources zao zinaisha na zingine zikifukiwa ilai USA + Israel wao wanazidi kuongezewa nguvu na nchi nyingine sasa anataka kuamisha mashambulizi kwenye willingness ndio maana anatishia raia wa USA.
@mangekimambi Tukirudi kwetu bongo CCM resources zinapukutika (japo sio sana) kutokana na vikwazo vichache ndio maana matozo na kodi ya kijinga yanaibuka.
Inabidi morale yao pia tuigonge. Na wao waonje raha ya kufanyiwa walichowafanyia ndugu zetu.
Uchumi & Amani,
Nisiseme sana
@RoyalFamily Your majesty,
Please help Tanganyika, we are being murdered by an illegitimate government of CCM. Then they go and lobby to get an investigation committee made of their partners from the commonwealth and UN. We need a fair, transparent and inclusive body to do the investigation.
โ ๏ธNAFASI ZIPO WAZIโ ๏ธ
Wanahitajika:
1. Walinzi wa katiba.
2. Wakombozi wa Tanganyika.
3. Watetezi wa Haki na Kweli.
Sifa:
1. Pendo la dhati na wivu mkubwa kwa Tanganyika.
2. Chuki kuu dhidi ya wahuni ndani na nje ya Tanganyika.
Muda hautoshi,
Ukiona posti hii mshute na mwenzio.
Sawa hii katiba ya sasa ni mbovu, ila naa ubovu huo kama ikisimamiwa kiusahihi hatupaswi kuwa hivi tulivyo leo.
Kesho tunaipata katiba nzuri tu ya wananchi, tunailinda vipi wasitokee tena wahuni wa kuichezea?
Hata katika taifa teule kabila la Lawi lilichaguliwa wailinde torati.
Nitailinda na kuitetea katiba ya Jamuhuri..."
Shida sio katiba, shida hichi kipengele hakuna wa kusimamia tena. Hata tukichukua katiba ya mbinguni tukaiweka Tanganyika kama hakuna wa kuisimamia, tutarudi hapa hapa.
Kwanza tuunde watetezi wa dhati wa katiba kisha katiba ifuate.