@Nnauye_Nape Mheshimiwa Heshima Kwako.
Mkuu Issue ya InDoor Arena Kawe Pale tumefikia wapi Mkuu?, Maana ujio Huu wa KirkFranklin na Maverick Music naona Kama kwenda Uwanja wa Taifa pale ni Kind of Hustle kidogo.
Tunaomba U Push Mambo ya tokee naona tuna Struggle Venue Mkuu.
Nje ya sadaka za kimfumo unazotoa katika nyumba za ibada kama fungu la kumi, malimbuko, shukurani nk.
Je una utaratibu wa kutoa sadaka zako binafsi kwa wahitaji?
Kwa mf. Yatima, Wajane, Wafungwa, Wazee?
Au wewe unatoa tuu zile sadaka za nyumba za ibada?
#GospelTraxxCloudsfm
Ndugu zangu tuiombee nchi yetu, MANDONGA anaiwakilisha πΉπΏ kesho kwenye pambano la ngumi dhidi ya Kenya huko . π
Mimi ni kama naogopa kitakachotokea π
"Mwenye haki hajikwai, akijikwaa haanguki, akianguka haumii, akiumia ni kidogo, maana Bwana humshika mkono na kumwongoza."
Hii line ili imbwa na CVC AIC Chang'ombe Nikajua ni Mstari kutoka kwenye Bible. Nisaidie nijue ulipo maana ni bonge la AhadiYaMungu kwetu alafu sijaupata π€
Nimeupenda Utaratibu Wa Ndugu Zangu KKKT. Yaani Unatubishwa Kwanza Ndo Mambo Mengine Yaendelee π
Makanisa Mengine vipiii
@Tanganyikan@CloudsMediaLive π€£