Tanzanian students with an interest in pursuing courses in mining or geology-related fields can avail of a fully-funded scholarship opportunity for the entire tuition fees at Moscow, Russia. The Bachelor's degree program will be delivered in the Russian language,
@brainofdaniel97@donraykiko@chapo255 Nadhan hakuna uhakika wa 100% ndiyo maana audience haibashiriwi ila ina kua identified kupitia data, behaviour na response zao hivyo kitu kuwa kizuri kwako si ushahidi kwamba ni kizuri kwa market..
@pamykid kufikiri kwa kujitegemea na kuiga kila kitu bila kuchambua na kusema ngozi nyeupe itatutawala milele kwa sababu Waafrika wana role models ni generalization isiyo na msingi as kujikubali na kujifunza kutoka kwa wengine vinaweza kuwepo kwa wakati mmojaโฆ.
@pamykid Kuwa na role model hakumaanishi mtu hajiamini, hajikubali au ni mjinga lah role model ni chanzo cha inspiration na kujifunza, si mtu wa kukufanya uache kuwa wewe kila mtu anayefanikiwa huwa amejifunza kwa wengine kwa namna fulani tatizo si kuwa na role model tatizo ni kushindwa.
@chapo255 Kiwanda kinahitaji mtaji, teknolojia, soko la uhakika, mazingira mazuri ya uzalishaji na usimamizi pia kuna kitu kinaitwa comparative advantage kwa maana If production costs are higher than importing from China means local manufacturing simply wonโt be competitive.
@mbnk_20@ItsKamala ionekane tatizo wanalenga magaidi na tafsiri potofu za dini, si Uislamu wenyewe.
Kama lengo ni kupambana na extremism afanye hivyo kwa njia inayotenganisha wahalifu na dini, au atumie viongozi wa dini kusaidia kutoa elimu sahihi badala ya kutoa kauli zinazokejeli dini yenyewe
@mbnk_20@ItsKamala kupambana na itikadi kali si jambo la Burkina Faso pekee hata Saudi Arabia, ambayo ndiyo kitovu cha Uislamu, imekuwa ikipambana kwa nguvu dhidi ya makundi ya ISIS na mengine yenye msimamo mkali lakini katika mapambano hayo, hawatumii dini kuidhihaki wala kuifanya elimu ya dini..
@mbnk_20@ItsKamala Tatizo si dini wala science vyote vina nafasi yake. Badala ya ku-generalize, angalia facts kwanza. โRead between the linesโ haimaanishi kupuuza ukweli uliopo..
@mbnk_20@ItsKamala ila mwisho nikapata nafasi nchi nyingine. Kama mtu ameomba scholarship ya masomo ya dini, unataka anyimwe kwa sababu tu ni ya dini? Hiyo haina mantiki kila scholarship ina vigezo vyake na kila mtu ana haki ya kuomba kulingana na anachotaka kusomea.
@Collins071188@ItsKamala Aisee labda zikitoka nikushtue zamani sana nilipataga nafasi ya ku apply sema nilienda nchi nyingine tofauti ila link zipo kipindi cha miezi ya 9 au 10 wana fungua madirisha ya usaili
@ItsKamala Economics, Agriculture, Edn, Languages na nyingine nyingi na serikali yao imefungua fursa hizo kama sehemu ya malengo ya Vision 2030 ya kukuza sayansi, teknolojia na utafiti swali la โwanaajiriwa wapi?โ si hoja ya kupinga scholarship as ajira hutegemea mahitaji ya nchi husika.
@ItsKamala Kupitia mpango wa kitaifa wa Study in Saudi na vyuo vikuu vya umma hawa jamaa i mean Saudi Arabia wanatoa scholarships kwa wanafunzi wa kimataifa katika kozi za kitaaluma ikiwemo Engineering, Computer Science, Artificial Intelligence, Cybersecurity, Data Science, Business
@BarakaMaviatu miji kama Singapore na Dubai imejenga uchumi wake kwa bandari zenye ufanisi, maghala, value addition na huduma za logistics na si kwa kuwa watu wanakuja kununua bidhaa pekee.
Kama Dar itashindana kwenye ufanisi, gharama na huduma, haitapoteza soko bali itabadilisha aina ya soko.
@BarakaMaviatu Siyo kwamba tumechelewa bali dunia imebadilika leo mfanyabiashara wa Zambia au DRC anaweza kuagiza moja kwa moja China kwa gharama ndogo kuliko zamani.
Njia ya pekee si kuifanya Dar iwe โduka la EACโ bali kuifanya iwe trade na logistics hub kwa hizo nchi
@Aruatani Diplomatic Passport si tuzo ya kuwa msomi as huitoa kwa viongozi wa kitaifa, mabalozi, baadhi ya maafisa wa serikali na watu wanaotumwa rasmi kuiwakilisha nchi nje.
Ukiwa kijana msomi njia ya kuipata ni kushika nafasi inayostahili/kutumwa rasmi na Serikali sio kwa elimu pekee.
@kasesco_tz Bandari haziamui meli ziende wapi mara nyingi ni wamiliki wa mizigo na kampuni za meli wanaochagua bandari kulingana na soko, miundombinu ya usafirishaji, gharama na mahali mzigo unapoelekeaโฆ