@RealHauleGluck Unauliza maswali ambayo inamuhitaji mtu mwenye kuweka pembeni mihemko na ulevi wa mapenzi ya Chama kukujibu.., siku hizi utaanza kuwa best yangu Haule..๐๐
@RealHauleGluck Angalau hata wewe unapata muda wa kutafakari mambo kwa undani.., ndo kusema kwamba CDM walikuwa hawajui kabisa kama kuna baadhi ya Viongozi wao wanakwenda kuapa Ubunge viti maalumu..!?, kwamba yule Mke wa aliyekuwa mpinzani wa Lema kwenye kura za maoni alikuwa hana taarifa..!?
@RealHauleGluck Kuna kamtego ka usawa wa kijinsia hapo..๐๐ wafukuze Wanawake halafu uone moto wake, by the way 2025 tawaambia nini Wanawake kama leo hii unawafukuza Uanachama..!?๐๐, mmeshameza ndoano, kutoka hapo ni lazima itoke na damu ๐๐ ( in Hauleโs voice) ๐๐๐
@RealHauleGluck Leo โunakula matapishi yako โ niliwahi kulipa angalizo mapema sana kipindi cha Kampeni nikakwambia iwe iwavyo, Halima ataingia Bungeni kama best looser..na leo maneno yangu yametimia machoni pako..bado kuna tukio jingine linakuja..Time will tell..