@Kingston_Kappa ...Makosa ya mwanaume kwenye mahusiano ni maarufu sana kwa ndugu na marafiki hata kwa jamii ila ya mwanamke ni mwanaume wake tu anayajua na kuyavumilia na ndio maana wanaume wanakufa mapema,wanabeba mengi na kufanya vingi bila kukosa mwongozo...