@Elycaptano Uyuu jamaa anaongea tuu ivii tukisme @tuwatimuee @wakenya wotee walipo katikaa nyazifaa mbali mbali .
Kenya mtapataa Eno la kuwahifadh ndgu zenu ...
Huu uchochez wa kisiasaa unaingiaa Hadi kwenye masokoo aisee !
Ndotulichoo kipndaa ilaa tusema kwa team @TaifaStars_ kwa mpilaa walio chezaa wamwechezaa mchezo mzuri japo tumefungwa2-0 natumain next @game@TaifaStars_ itafanyaa vizuri mungu ibariki @TaifaStars_ .๐น๐ฟ๐น๐ฟ
@zittokabwe "Wakulima wenye korosho nyingi kukataliwa kulipwa kwa kigezo cha uhakiki wa mashamba, ni ajabu kwamba; kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tunakwenda kuhakiki shamba la mkulima kisa tu ana mazao mengi"- David Silinde #ChangeTanzania#BajetiTz#UchambuziWaBajeti