Be proud of your discipline. Skipping a party is still self-control. Waking up early is still a win. Every choice you make shapes the man you’re becoming.
Your life can change very quickly. Don't get discouraged because of what you're going through right now. Practice faith and patience. Good things are coming.
Kuna Umri Ukifika Utaanza Kuelewa,
Maana Halisi Ya;
• Utu,
• Vitu,
• Ukimya,
• Upendo,
• Roho na Mwili,
• Wema na Ubaya,
• Muda / Wakati,
...
Utaanza Kuelewa;
• Kwann Jambo Lile Halikutokea Kwako,
• Kwanini Watu Fulani Walindoka Kwako,
• Kwanini ulikosea Kufanya Hayo Maamuzi,
• Kwanini Hukuamua Mapema,
...
Utaelewa Zaidi;
• Kuhusu Sauti na Ala Za sauti unazosikiliza,
• Kuhusu Sehemu unazo Kaa na Kuondoka,
• Kuhusu Ulimwengu kwa Upana wake,
• Si Kila Kosa Ni Kosa Kwa Mwingine,
• Kuna Watu Wengi Wamekufa Huku Wapo Hai,
...
Utaelewa;
• Maisha Yote uliyoishi Wewe Ndio Mhusika,
• Uumbaji Upo Ndani Yako na Sio Nje Yako,
• Mungu ni Nguvu na Unaishi Nayo,
• Pesa ni Kila Kitu lakini haiwezi Fanya Kila Kitu,
• Duniani Ndio Nyumbani Kwako Halisi,
...
Bila Kusahau;
• Utaelewa Kila Mtu Yupo Peke Yake,
• Mateso / Magonjwa ni Sehemu Ya Dunia,
• Furaha Haitegemei Watu / Vitu,
...
Kumbuka: Wengi Tutakufa Tukiwa Hatujui,
• Kiliendelea Nini,
• Kinaendelea Nini,
• Kitaendeleaa Nini,
Kwenye Maisha Yetu!.
...
^Abracadabra^
Women say they want equality, but in dating, they still expect the man to make the first move, pay for dinner, and protect them.
Equality is rarely 50/50.
Maturity is improving yourself instead of proving yourself to others, understanding yourself instead of explaining yourself to others, validating yourself instead of seeking validation from others, and loving yourself instead of loving others harder to make them stay or love you.
Maboss nawakumbusha tena, kulala na wafanyakazi wenu ndio mwanzo wa ku-loose your AUTHORITIES.
Unakuta kampuni yako mwenyewe, lakini huna AUTHORITY tena kwa wafanyakazi wako. Mwisho wa siku INAKUFA.
Kwa sababu ZINAA IMEKULA MAONO YAKO!
Kuvua nguo ni kuvua HESHIMA yako, na KAMPUNI YAKO IMO NDANI YA VAZI LAKO!
Na ujumbe huu naomba uwafikie kwenye magroup yenu, mkiwa mnakumbushana. AHSANTE!
Nakukumbusha kuwa tafsiri ya maisha yako niwewe mwenyewe, jiwekee thamani yako, Mtangulize Mungu kwa kila jambo na amini kuwa unastahili vilivyo vya thamani zaidi ya ulivyovipoteza 👏
Keep Going 🪜