Saba Saba: Tanzania Yathibitisha Tena Kuwa Amani Ni Utajiri Wake Mkubwa
Thomas Joel Kibwana
Mchambuzi wa Siasa
Tanzania imeandika ukurasa mwingine wa kujivunia katika historia yake ya kudumisha amani na utulivu, baada ya wananchi kuendelea na shughuli zao za kawaida licha ya
Milio Milio miliooooooo!!!
Kwa Sasa kupumua ni ngumu sana
Au ushapona kale kaugonjwa wako maana hii caption inakujishuku ndani yake wewe umekula pesa saivi unasema sio kiranja.
Kataa Kunguruuuuu
Madai ya ushindi kutoka kwa wanaharakati yalipuuzwa na tendo la uzalendo la wananchi kwani jana walibaki nyumbani ili kulinda riziki na maisha yao na sio kwa sababu ya matakwa ya Wanaharakati. Vijana walikataa vurugu na waliendelea na kazi zao. Hii inathibitisha kuwa taifa letu linataka maendeleo na umoja badala ya machafuko. #MamlukiWaMabeberu
#TumekataaHarakatiZaVurugu
Wanaharakati Wameaibishwa
Katika nyakati hizi za utata kutoka kwa wanaharakatiwanaofadhiliwa na mabeberu, vijana walionyesha upeo wa uzalendo kwa kuchagua utulivu wa kiuchumi. Vijana walifanya biashara zao kwa amani, wakichunga kazi zao na kuhakikisha riziki zao zinaendelea bila kukatizwa na vurugu. Hii ndiyo njia ya kuijenga Tanzania yenye uchumi imara. #MamlukiWaMabeberu
#TumekataaHarakatiZaVurugu
Wanaharakati Wameaibishwa
Saba Saba: Tanzania Yathibitisha Tena Kuwa Amani Ni Utajiri Wake Mkubwa
Thomas Joel Kibwana
Mchambuzi wa Siasa
Tanzania imeandika ukurasa mwingine wa kujivunia katika historia yake ya kudumisha amani na utulivu, baada ya wananchi kuendelea na shughuli zao za kawaida licha ya kuwepo kwa wito na matishio ya maandamano yaliyokuwa yameibua taharuki katika kipindi cha kuelekea Saba Saba. Uamuzi wa Watanzania wengi kuchagua utulivu, mshikamano na maendeleo badala ya vurugu ni ishara ya ukomavu wa kisiasa na uzalendo wa hali ya juu.
Katika kipindi ambacho nchi mbalimbali duniani zimekuwa zikishuhudia migogoro, machafuko na migawanyiko inayosababishwa na tofauti za kisiasa, Tanzania imeendelea kusimama imara kama kisiwa cha amani katika ukanda wa Afrika Mashariki. Wananchi wameonyesha kuwa wanaelewa thamani ya amani na kwamba tofauti za mitazamo zinaweza kujadiliwa kwa njia za kistaarabu ndani ya mifumo iliyowekwa kisheria.
Pongezi za dhati zinapaswa kuelekezwa kwa Serikali kwa kuchukua hatua za mapema kuhakikisha kuwa amani na usalama wa nchi vinabaki kuwa kipaumbele. Serikali imeendelea kusimamia wajibu wake wa msingi wa kulinda raia na mali zao, huku ikihakikisha kuwa shughuli za kijamii na kiuchumi zinaendelea bila kuvurugwa. Uongozi wa Serikali umeonyesha dhamira ya kulinda utulivu ambao ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa.
Vilevile, pongezi za pekee ziwaendee vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na uangalifu. Katika mazingira yenye changamoto, vyombo hivi vimeendelea kusimamia wajibu wao wa kikatiba wa kulinda amani, usalama wa raia na kulinda misingi ya Taifa. Uwepo wao umechangia kuzuia vitendo ambavyo vingehatarisha usalama wa wananchi na kuvuruga shughuli za kawaida za nchi.
Hata hivyo, mafanikio makubwa zaidi yametokana na wananchi wenyewe ambao walichagua amani. Watanzania wameonyesha kuwa wana uwezo wa kutofautiana kisiasa bila kuvunja umoja wa kitaifa. Uamuzi wa kuendelea na shughuli zao, kulinda mali zao na kuheshimu utulivu wa nchi ni uthibitisho kuwa wananchi ndio walinzi wakuu wa amani ya Tanzania.
Ni muhimu pia kutambua kuwa amani haimaanishi kukosekana kwa mijadala au mawazo tofauti. Tanzania ni Taifa linalojengwa na wananchi wenye mitazamo mbalimbali, lakini nguvu yake imekuwa katika uwezo wa kutafuta suluhisho kupitia mazungumzo, sheria na taasisi za nchi badala ya njia zinazoweza kuleta migawanyiko na madhara kwa jamii.
Tunapoitazama historia ya Tanzania, amani imekuwa msingi wa mafanikio makubwa katika nyanja za uchumi, uwekezaji, biashara, elimu na maendeleo ya kijamii. Kulinda amani ni kulinda fursa za vijana, biashara za wananchi na matumaini ya vizazi vijavyo. Kwa hiyo, kila Mtanzania ana wajibu wa kuendelea kuilinda tunu hii muhimu.
Kwa ujumla, Saba Saba ya mwaka huu imeonyesha tena kuwa Tanzania ina wananchi wanaothamini nchi yao, Serikali inayoweka mbele usalama wa Taifa, na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyosimamia wajibu wao. Pongezi ziwaendee Watanzania wote waliochagua amani, kwa sababu amani ndiyo msingi wa Taifa imara, lenye umoja na linalosonga mbele kuelekea maendeleo. #MamlukiWaMabeberu
#TumekataaHarakatiZaVurugu
Wanaharakati Wameaibishwa
WATANZANIA WAKIRI KUWA HAKUNA MTU WA KUWASAPOTI LABDA BABA ZAO 😁😁😁😁
@Nuruvazi01 Hajitambui
@mangekimambi Hajitambui
@MariaSTsehai Hajitambui
@HecheJohn Hajitambui.
TUNAMLINDA TANZANIA.
TUNAMLINDA AMANI.
TUNAMLINDA UMOJA.