@Cutyhusnah Kila mtu anaweza kuja na hoja zake lkn kwa jinsi polisi walivodeal na hili suala ni kweli walipiga risasi kwa waharibifu wa hizo mali au walioishia kuuwawa ni watu wasio na hatia. Kama jeshi lina intelijensia kubwa kwann wasitafute namna ya kuwakamata hao watu.Kuna kitu hakipo OK