NGUVU YA MUONEKANO.
Je, unafahamu kuwa muonekano wako wa nje unaweza kukuelezea kwa watu?
Namna unavyoonekana inaweza kutoa majibu ya maswali ya watu wanayojiuliza kuhusu wewe bila hata wewe kuwajibu.
Muonekano wako unaweza kukufaidisha au kukuhatarisha.
Endelea...✍🏾
Kataa ukubali!
Mwanamke atampenda Mwanaume anae weza kumuacha saa yoyote!
Wanawake wanavutiwa na vitu wasivyoweza kuvipata..
Mwanaume ukiwa na options, that means mwanamke hawezi kukuletea ujinga..
Ni demand na supply!
Watu Milioni 590 wanaumwa ugonjwa wa sukari duniani.
Sawa na asilimia 10.2 ya idadi ya watu duniani.
Ushauri wangu,
Endelea kula milo mitatu mpaka sita kwa siku, endelea kula sukari na bia za kutosha, endelea kusema unataka kitambi cha kufutia simu.
Sarcasm is a perfect way of unwearing human behaviors and thoughts.
It tricks the brain into believing that it has found it comfort and revealing its reality.
Kila ninaposema, mlo wa asubuhi siyo afya ni biashara.
Edward Bernays hakulipwa pesa nyingi ili akufanye uwe na afya ukila asubuhi.
Usipoamsha akili yako, mwili wako utaendelea kuwa mti wa pesa kwa watu.
Kila ninaposema kuwa, wanawake wengi kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea hawaishi maisha yao halisi. Wanatengeneza taswira na mienendo ambayo siyo halisi kuficha uzoefu wao.
Kila ninaposema kuwa, wanawake wengi kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea hawaishi maisha yao halisi. Wanatengeneza taswira na mienendo ambayo siyo halisi kuficha uzoefu wao.