Leo kuna ukunga!
Naam!
Wapiga ukunga wanatoa milio ya hovyo kama subwoofer mbovu ya Sunda inaposema “Line in”
Wanapiga ukunga wakitaka tushiriki kilio chao. Eti Rita Kanjambile au maarufu kama Ritha Paulsen kawatukana.
Yaani kitendo kidogo tu cha Kanjambile kuwaita “Media Uchwara” wameshikwa na maumivu kama mtu aliyegongewa demu wake na sharp boys ambao wamemsambazia High voltage electricity kutoka transformer lisilojulikana.
Naam!
Demu wao ambaye ni mwananchi wanayemlisha udaku,na kumyima habari za maana.
Ndugu za demu wao walipotekwa, Media uchwara zilimkaushia.
Ndugu za demu wao walipouwawa kinyama na miili yao kutopatikana kwa maziko, media uchwara zilikuwa zinatangaza habari za shoga Mr. T linaloliwa Sundus.
Ndugu wa demu wao walipopewa kesi feki za kisiasa, media uchwara zikamwambia demu wao habari kuwa ukishikwa bega unaweza kupoteza Mugombero, the turbo charger.
Leo Rita Kanjambile Geigeige, anapowaita uchwara, wanataka kuungana na kuandamana.
Wanataka kutuhamasisha na sisi tuandamane kuwaunga mkono, tulie nao na kukinukisha. Uhaini huu.
Inye cheiiii,
Kalia mpali!
In 1879, a British/Scottish medical student named Robert Felkin watched an African healer in Uganda perform a caesarean section.
Clean incision. Banana wine as anaesthetic and antiseptic. Bleeding cauterised with hot iron. Wound closed with iron pins and herbal root paste.
Mother recovered fully. Baby survived.
Felkin noted in his journal that the technique was SO REFINED, it was clearly standard practice, performed routinely long before any European arrived.
At that same moment, hospitals in London and Edinburgh were still debating whether caesarean sections could ever be justified on a living woman.
European surgeons were operating in street clothes, rarely washing their hands, and losing most patients to post-operative infection.
The Africans had already solved anaesthesia, anti sepsis, haemostasis, and wound care.
Felkin went home and presented his findings to the Edinburgh Obstetrical Society in 1884.
The knife used in that surgery still exists.
It is now housed in the Science Museum in London.
A silent artifact of a surgical tradition they called primitive.
They didn't discover our medicine.
They witnessed it, wrote it down and forgot to mention where it came from.
8 P.M. is not that good. Could you change it to between 1 and 2 P.M., or if possible, 1 and 2 A.M.?
Thank you for your attention to this important matter. I.E.Z.
I usually don’t respond to posts popping on my TL unless necessary. But this post about shaming Sarungi carpet, brought me here. So I’ll highlight a few - shame on whoever posted a carpet- not even worth my tag..I recognized them for what they are - smear campaigns by narrow-minded individuals, people willing to be paid to attack legacy, dignity, and truth. You tried to shame a family by taking pictures of -a carpet. Meanwhile, the late professor Sarungi served Tanzania with distinction at Muhimbili, in government, and in the lives of thousands of patients. He chose service over stealing. He chose patients over comfort. He chose his country. RIP
His daughter @MariaSTsehai chose to stand for humanity, human rights, and the common good of all Tanzanians.
That tells us something important.
It tells us the kind of upbringing she received.
We applaud Mama Maria- a patriot who raised a daughter strong enough to defend her country. Let me tell you something about Maria. I heard her name when I was still in high school at Jangwani. Even then, she was changing the game. Later, I went to Europe and built my career in the fashion industry, and I always gave back to Tanzania, so when I reconnected with Maria, she was leading a media house in Tanzania, and I wanted to contribute as a guest speaker while living in Germany. We both love Tanzania & both wanted to put Tanzania on the global compass positively.
I still remember meeting her after coming from a meeting with the Minister for Tourism. She looked at my outfit and asked, “You wore that to the ministry office in Tanzania?” We laughed.
I have always been in my own-lane person… so is Maria. Respect her for that.
These are people who could have positively pushed Tanzania forward - and still can. Yet today, she is being labeled and mocked by individuals who think success is defined by furniture and appearances just because she chose truth.
My own father served as a bank manager. He owned homes. But in his final days, he chose to rent a simple room Uswahilini close to the hospital where he received dialysis treatments. He died there. If someone had taken a picture of that house and claimed it represented his legacy, they would have shown how shallow they are. Our parents may not have lived in palaces. But they raised daughters who dare to speak truth. Who dare to serve.
KISWAHILI
Aibu, aibu, aibu kwa hawa wanyanyasaji mitandaoni. Niliiona hii post kwenye timeline kuhusu ati carpet kwa mama Sarungi, na mara moja nikajua ni kampeni ya kuchafua majina ya watu - watu wenye mawazo finyu, wanaokubali kulipwa ili kushambulia heshima na urithi wa familia. Nasikia mpaka vilioni watu wanalipwa kulia- nchi imepotea.
Mmejaribu kuaibisha familia ya Sarungi kwa picha ya carpet. Ujinga.
Wakati huo huo, marehemu Dr. Sarungi alilitumikia taifa kwa uadilifu - katika hospitali ya Muhimbili na serikalini. Alichagua huduma badala ya wizi.
Alichagua kuwasaidia watu badala ya anasa. Alichagua kulipenda taifa lake.
Mungu ailaze roho yake mahali pema.
Tunamshukuru kwa huduma yake kwa Tanzania. Badala ya jina lake kuandikwa kwenye historia kwa heshima, leo kuna watu wanajaribu kulichafua kwa maneno ya kejeli - kwa sababu tu binti yake Maria amechagua kusimama kwa ajili ya haki za binadamu na maslahi ya Watanzania wote. Hii inaonyesha malezi mazuri Maria aliyopata- tunampongeza mama aliyemlea mtoto jasiri na Mzalendo.
Baba yangu mwenyewe alikuwa meneja wa benki. Alikuwa na nyumba sehemu togauti, lakini siku zake za mwisho aliamua kuishi karibu na hospitali alipokuwa anapata matibabu ya dialysis kwenye chumba cha kupanga. Alifariki hapo ingawa alijenga nyumba nyingi. Kama mtu angepiga picha ya sehemu ile yake ya mwisho na kusema ndiyo urithi wake, angeonyesha jinsi alivyo na mawazo mafupi. Wazazi wetu huenda hawakuishi kwenye majumba ya kifahari, ila walilea watoto wa wanaosema ukweli. Wanaotumikia jamii. Mjitafakari sana. Mjielimishe. Tanzania inahitaji hekima na ukweli, siyo narrative eti carpet.
Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰
Mwaka jana December niliacha biashara ya uwakala mkoani nikatinga DSM-Mbagala miguu yote nikafungua Spare Parts kwa mtaji wa 10M.. ni miezi mitatu now mauzo hayazidi 50 per day.. wateja hakuna, mafundi wanasumbua ya ani kiufupi kichwa kiko moto 🔥 🔥
👇👇
Anaandika muimbaji wa muziki wa Injili Joel Lwaga
PICHA YA KWANZA; Hapo sijafanikiwa hata kuifikia Mic ya Waitikiaji🤣 niko nyuma kabisa hapo na hyo ndo ilikuwa sura na rangi yangu wala nisisingizie camera🤣
PICHA YA PILI; Nimeambiwa nina kitu nisogee mbele nikae kwenye Mic niitikie na wengine sauti ya tatu
PICHA YA TATU; Director Pastor @sammyrodin kwa mbaaali amesikia kama nina sauti ya kuimbisha so akanipa wimbo wa kuimbisha ndo nikawa nawaelekeza wenzangu tutaendaje
PICHA YA NNE; Sasa hapo ninaachia Vipaji vyote nilivyonavyo nisije kuondolewa kwenye kuimbisha ( halafu mnasemaga sijui kucheza🤣)
NB; Pale YESU aliponitoa hamuwezi nielewa nyie tuliokutana YouTube, Spotify, Instagram Facebook nk 😂
USA: We are considering sending ground troops.
Iran: We will be waiting.
USA: Surrender unconditionally.
Iran: Not to the Epstein gang.
USA: Iran wants to talk but it is too late now.
Iran: Here is the middle finger.
USA: After that we will help choose a new leader and Make Iran Great Again.
Iran: You can’t even choose Mayor of New York
USA: The big wave of attacks is yet to come.
Iran: So is the response.
Iran is also winning in rhetoric.
LIFE 🤦♂️💔
This boy lost his dad and mother , he had to lie about his age just so he can be able to work and take care of his small sister who is still 6 years old. He did that so as to keep his sister closer to him
The police discovered and arrested him for faking his age and falsifying documents.
When he explained his case in court , the JUDGE immediately dropped the charges and promised that he will do everything for him and his sister to stay together and never be separated.
Life is crazy , people go through a lot
Moral lesson : If a 14 years old boy can be out there hustling , what more of you who is 25? Begging in the comments .
Vita sasa ni akili, teknolojia na pesa. Vita si tena kubeba mizigo mizito mgongoni na visu vikubwa kiunoni kisha kuingia msituni kupambana na adui. Ni vita inayotumia teknolojia za kisasa na uchumi mkubwa. Wanasayansi wamegeuza maabara kuwa viwanda vya kutengeneza silaha za kisasa. Hii ndiyo maana halisi ya Teknolojia na uchumi. MaCCM wao hawataki mambo ya teknolojia. Wanarudi nyuma wakati Dunia inasonga mbele. MaCCM wao wamewekeza nguvu kupambana kuwazuia wanawake wa CHADEMA wasikutane kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, siku ambayo wanaitumia kujadili mambo yao ya wanawake na kushangilia jinsia yao. MaCCM wanaona huo ni uhaini. MaCCM bado wapo katika hatua za UNYANI.
GIRISHONI.., sisi, hatupokei rushwa ya maelezo.
Mfumo wa usajili meli za kigeni (Open Registry/FOC) Tanzania umekuwa ukisimamiwa na Mamlaka ya Bahari Zanzibar (ZMA) kupitia kwa wakala – Tanzania Zanzibar International Register of Shipping (TZIRS).
Januari 19, 2018 Rais J.P Magufuli aliamuru kusimamishwa kwa muda (temporary ban) usajili wa meli mpya za kigeni (foreign-owned vessels) chini ya bendera ya Tanzania, ikiwemo Tanganyika na Zanzibar.
Maagizo hayo (temporary ban) yalitokana na matukio ya meli zenye bendera ya Tanzania kukamatwa zikisafirisha bidhaa haramu katika maji ya bahari – madawa ya kulevya (kama cocaine) na silaha/vilipuzi.
Magufuli alisema Tanzania haiwezi kuruhusu jina la nchi yake kuchafuka kwa maslahi binafsi, na akaagiza uchunguzi wa meli zote 470 zilizokuwa zimesajiliwa na kupeperusha bendera ya Tanzania wakati huo.
Usajili ulifanywa kwa urahisi (mfumo wa “open registry” au Flag of Convenience - FOC), ambapo meli nyingi za kigeni (zisizo za Tanzania) zilisajiliwa ili kuepuka kanuni kali, gharama za juu, au vikwazo vya kimataifa
Sababu kuu za hatua hiyo zilikuwa ni;
Dawa za kulevya na magendo: Meli zenye bendera ya Tanzania zilikamatwa zikiwa zimebeba shehena kubwa ya dawa za kulevya (kama vile cocaine na heroine). Hii ilikuwa inachafua taswira ya nchi kimataifa.
Uvunjaji wa Vikwazo vya Kimataifa: Meli zenye bendera ya Tanzania ziligundulika kufanya biashara na nchi za North Korea na Iran, jambo ambalo lilihatarisha Tanzania kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa (UN).
Usalama wa Kimataifa: Mfumo wa Flag of Convenience uliruhusu meli ambazo hazimilikiwi na Watanzania kutumia bendera ya Tanzania bila uangalizi wa kutosha wa nani anazimiliki au zinafanya nini huko baharini.
Matokeo ya Uamuzi huo yalikuwa;
Serikali ilihakiki upya meli zilizokuwa zimesajiliwa na kufuta zenye mashaka. Hii ilisaidia kuirudishia Tanzania heshima katika jumuiya ya kimataifa na kuepuka migogoro na mashirika ya usalama wa bahari.
Udhibiti wa Mamlaka: Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini (wakati huo SUMATRA, sasa TASAC) na ZMA zilipewa maelekezo ya kuwa na vigezo vikali zaidi vya usajili. Walitakiwa kuondoa usajili wa open registry.
Mfumo wa Flag of Convenience (FOC) unazivutia kampuni nyingi za meli kwa sababu unatoa kodi ndogo na udhibiti mdogo wa kisheria, lakini kwa nchi kama Tanzania, ulikuja na gharama kubwa ya sifa na usalama.
Mfumo wa usajili meli za kigeni (Open Registry/Flag of Convenience- FOC) ulirejea rasmi katika utawala wa Serikali ya Awamu ya Sita. Hapa kuna mambo muhimu ya kufahamu kuhusu kurudi kwa mfumo huu:
1. Nani alieurudisha?
Mfumo ulianza kurejea baada ya mabadiliko ya uongozi 2021. Serikali iliamua kufungua milango ya usajili wa meli za kimataifa (International Registry) kama sehemu ya mkakati wa kukuza Uchumi wa Bluu (Blue Economy).
2. Sababu za kuurudisha
Mapato: Usajili wa meli ni chanzo kikubwa cha fedha za kigeni. Ripoti za (2024) zinaonyesha ZMA imesajili zaidi ya meli 800 za kimataifa katika kipindi cha miaka minne iliyopita, na kuingizia serikali zaidi ya TZS 10 bilioni.
Ajira: Serikali inalenga kutumia usajili huu kutengeneza fursa za ajira kwa mabaharia wa Kitanzania kwenye meli za kigeni. Ukizingatia, mfumo wa Flag of Convenience (FOC) unaajiri wafanyakazi kwa ujira mdogo.
Matukio ya meli zenye bendera ya Tanzania kukamatwa baharini yamekuwa yakijirudia kwa miaka mingi. Hapa kuna orodha ya baadhi ya matukio makubwa ya kukamatwa kwa meli hizo. Nitakupitisha kidogo.
1. Tukio la El Salvador (Februari 2026)
Meli ya FMS Eagle, ikiwa inapeperusha bendera ya Tanzania, ilikamatwa na Jeshi la El Salvador ikiwa na shehena ya tani 6.6 za dawa za kulevya – cocaine (yenye thamani ya US$165M sawa na TZS 460bn).
2. Matukio ya Hispania (2024 - 2025)
Oktoba 2025: Polisi wa Spain walikamata meli iliyokuwa inapeperusha bendera ya Tanzania ikiwa na tani 6.5 za cocaine. Oktoba 2024: Meli ya mizigo ilikamatwa katika Visiwa vya Canary ikiwa na tani 3.28 za cocaine.
3. Meli ya “Andromeda” (Januari 2018)
Tukio hili lilikuwa moja ya sababu zilizomfanya JPM afute usajili wa meli za kigeni. Ugiriki (Crete). Makontena 29 – vifaa vya kutengenezea vilipuzi (ammonium nitrate na detonators) kuelekea Libya
4. Meli ya “Kaluba” (Desemba 2017)
Meli hii ya KALUBA ilikamatwa muda mfupi kabla ya kutoka kwa amri ya Rais J.P Magufuli (temporary ban) ikiwa katika maji ya Dominican Republic, ikiwa imebeba shehena tani 1.6 za dawa za kulevya (cocaine).
5. Uvunjaji wa Vikwazo vya UN (North Korea & Iran)
Kati ya 2012 na 2018, Tanzania iliingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia baada ya kubainika zaidi ya meli 50 za Korea Kaskazini zilikuwa zikitumia bendera ya Tanzania kukwepa vikwazo vya Umoja wa Mataifa (UN).
Mwaka 2012, meli za mafuta za IRAN ziligundulika kutumia bendera ya TANZANIA baharini kinyume na sheria, jambo ambalo lilipelekea kufutwa kwa usajili wa meli hizo baada ya shinikizo kutoka kwa Marekani.
Paris MoU, inayoundwa na mamlaka 27 za usimamizi wa bahari na Kamisheni ya Ulaya, yameiweka Tanzania katika kundi la nchi zenye hatari kubwa sana katika usajili wa meli (flag state), Moldova na Cameroon
Tokyo MOU, inayowakilisha zaidi ya nchi 20 katika kanda ya Asia-Pasifiki, imeiorodhesha Tanzania kama nchi ya pili kundi la nchi zenye hatari kubwa sana katika usajili wa meli (flag state) ikitanguliwa na Cameroon.
Walinzi wa Pwani wa Marekani (US Coast Guard) pia wameiweka Tanzania katika kundi la nchi zenye hatari kubwa sana katika usajili wa meli (flag state), pamoja na Bolivia, Curaçao, Vanuatu, Komoro, Latvia, na Togo.
Kuorodheshwa vibaya na mamlaka tatu tofauti za ukaguzi wa meli bandarini, kunaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye bendera za meli zinazofanya vibaya zaidi duniani, sambamba na Togo na Belize.
Tanzania pia inaripotiwa kuwa nchi ya pili duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya kesi za kutelekezwa mabaharia (seafarer abandonment) bila msaada, chakula, au malipo wakiwa safarini, ikifuatiwa na Panama.
Wahusika wakuu ni mitandao ya uhalifu ya kimataifa inayotumia urahisi wa usajili (FOC) kufanya uhalifu. Serikali ya Tanzania itueleze, meli iliyokamatwa El Salvador ni mali ya nani na ilikuwa inakwenda wapi.
Maelezo ya GIRISHONI bila kutueleza meli iliyokamatwa EL SALVADOR ikiwa na tani 6.6 za cocaine imesajiliwa kwa jina la nani, inatoka wapi na inakwenda wapi, mzigo ni mali ya nani – maelezo yake ni kama rushwa tu.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Waandishi Takamwili (The Junk Journalists).
Waandishi wetu wa habari wamegeuka wataalamu wa geopolitics. Leo wanaandika thesis ndefu kuhusu Israel na Iran – missile trajectories, proxy wars, nuclear ambitions, who blinked first, n.k.
Hawa “wahuni” wana uwezo wa ajabu wa kuona vumbi la mchanga katika mitaa ya Tehran na Mashariki ya Kati yote, lakini hawaoni moshi wa baruti uliopita mlangoni kwao miezi minne tu iliyopita.
Wanajua idadi ya vifo vya watoto wa Tehran kwa takwimu za nukta, lakini idadi ya Watanzania waliopotea au kupigwa risasi wakati wa uchaguzi mkuu ni "habari zisizo na uthibitisho" au "uchochezi."
Wana uwezo wa kuona kombora la Fattah-1 likifyatuliwa kutoka Isfahan, lakini macho yao yanapata upofu ghafla (glaucoma ya kisiasa) kuhusu yaliyotokea mitaani kwetu 29 Oktoba 2025.
Ukiwauliza kuhusu Oktoba 29, 2025 – siku ambayo raia wetu walipigwa risasi kama target practice, miili ikarundikwa hospitalini au ikachukuliwa na “ghost squads”, wanasema hawana material.
Habari za Oktoba 29, 2025 – wanakuwa kama paka aliyemeza uji wa moto. Mdomo mzito, vidole vyao vinakuwa paralyzed, keyboard inakuwa exhibit A ya kutengeneza museum ya uoga. Shensisana.
Wachambuzi wa vita za mbali, lakini viziwi na bubu wakati damu inamwagika barabarani kwao. Wakati huo huo wanaweza kutoa maoni zaidi ya 200 kuhusu kama drone ya IRAN ililenga au la!
kizazi kinachoweza kuandika kurasa 100 kuhusu Mashariki ya Kati, lakini kikitakiwa kuripoti tukio la ukatili wa Serikali hapa nyumbani, vidole vyao vinapata kiharusi cha ghafla. Kizazi takamwili.
Ni hovyo with extra cheese, takamwili iliyopakwa rangi ya blue check na verified nonsense. Wakati raia wetu walipigwa risasi na kuuawa, wahuni walikuwa busy kuchambua SIMBA na YANGA.
Ni rahisi kulaani uvamizi wa Israel kuliko kulaani uvamizi wa mabomu ya machozi mtaani kwao. Wanalilia damu ya raia wa IRAN kuliko kutaja jina la Mtanzania aliyeuwawa kwa ajili ya kura yake.
Wanasubiri ndege za kivita za Iran na Israeli zifanye manoeuvre angani huko ili wapate cha kuandika, huku wakijifanya hawasikii vilio vya wajane na mayatima wa uchaguzi mkuu uliopita.
Briefcase journalism. Ni kizazi kilichogeuza kalamu zao kuwa kijiko cha kulia mchuzi wa serikali, wakiacha taaluma yao ikizikwa kaburini futi 6. Kizazi hiki cha wanahabari – selective outrage
Shame on niggas who suddenly cares about Iran, but stayed silent when Tanzania was bleeding last year.
Mofos even stayed out of X.
They’re nothing but bloody killer Samia’s regime apologists.
The hypocrisy is unbelievable.
Nikiwa nafanya mazoezi asubuhi huwaga naweka “TIKTOK” video zile zinapoteza muda vizuri sana.
Leo nimekutana na VIDEO moja ya DUDE yule jamaa wa zamani aliekuwa anaigiza kama TAPELI zamani analalamika.
MALALAMIKO yake ni dhidi ya jamaa mmoja maarufu sana kwasasa na nakumbuka nishampost “PENGO MAKEKE” anaigiza kama TAPELI.
DUDE anasema “Jamaa anaiga kila kitu aisee”—kwanza kama mnakumbuka nilishawahi kusema hapa “GEN Z NDIO TUNAAMUA NANI ATAMBE NA NANI APOTEE NA YOTE HIYO INAWEZEKANA KWA NGUVU YA MTANDAO”.
“Wewe kama hutaki kufuata MTANDAO unataka nini utabaki tuu kusema Mimi zama zangu nilikuwaga NOMA ila hakuna atakaekusikiliza na ZAMA ZAKO”.
Malalamiko ya DUDE ni mfano mzuri wa nilichosema. Yeye bado yupo zama za ANALOGY anategemea Kushoot kisha anaenda kuwauzia ITV , AZAM SIJUI. Nani akae ITV kuangalia vituko vyako muda huu DUDE??
Dunia ipo kiganjani na GEN Z ndio wamiliki wa mitandao—fuata wanataka nini kama kweli unautaka UKING wa milele.
NB: UKIGOMA KUBADILIKA USITULAUMU. KWAKO HOME BOI PENGO MAKEKE—PIGA KAZI ACHANA NA HUYO KIBAKA WA SISIEMU, MBEYA MBALI MZEE.🫵
Bado tupo katika hatua za UNYANI.
Tumekwenda gerezani kumtembelea Mwenyekiti wa chama chetu, CHADEMA, Tundu A.M Lissu tumekataliwa. Waliotukatalia, hawana sababu zozote za msingi za kutuzuia zaidi ya maagizo yasiyoeleweka.
Zamani, tuliporuhusiwa kumuona Tundu A.M Lissu, kulikuwa na vizuizi vikali (mazungumzo yalikuwa kupitia simu na kioo kizito) na askari magereza lazima awepo karibu kusikiliza kila neno ambalo linazungumzwa.
Hatujatoka katika unyani. Hatuna tabia za watu waliostaarabika. Haki ya mtu siyo jambo la mjadala. MAGEREZA wanazuia Tundu A.M Lissu asitembelewe gerezani. Tundu Lissu ambaye ni mahabusu tu.
Hii inaendelea kuonyesha picha mbaya ya jinsi haki za binadamu na utawala wa sheria zinavyokiukwa Tanzania sasa hivi. Tunaendelea na mifumo ya ukandamizaji iliyojificha chini ya sura ya sheria. Huu ni UNYANI.
Karne ya 21, tunajadili mahabusu (hata siyo mfungwa) kuonana na ndugu, jamaa na rafiki zake akiwa gerezani akisubiri mwenendo wa kesi yake Mahakamani? Hii hata haipaswi kuwa mjadala. Tupo kwenye ‘UNYANI’
Nchi nyingine kuna ‘CONJUGAL VISIT’ – ziara ya faragha mfungwa anaruhusiwa kutumia muda na mwenzi wake (mume/mke) wa kisheria ndani ya gereza kwa wafungwa. Naelewa, Afrika haiwezekani.
Hivi ninyi mngeweza kuvumilia kusikia mikito mfungwa/mahabusu akiwa anamdinya mke wake wakiwa chemba? Ninyi mnafahamu vizuri, wafungwa walivyo na ngunga.., usipimie hizo.. tupo kwenye ‘unyani’
Wakati nchi nyingine wanajaribu kupunguza upweke kwa wafungwa/mahabusu na kuwapa kama rewards kwa kuwapa conjugal visit, kwetu mnazuia mahabusu kuonana na ndugu, jamaa na rafiki zake. UNYANI.
SPAIN unapata CONJUGAL VISIT mara moja kwa mwezi na inachukia saa 1 hadi 3). Denmark kuna hadi vyumba maalum (apartments) kwa wenzi kukutana na kukunjana. France (mfungwa anakaa na familia saa 72).
Canada; mfungwa anakaa na mwenzi wake (mke au mume wake), watoto, au wazazi hadi saa 72 kila baada ya miezi miwili. Saudi Arabia; wafungwa wanakutana na wake zao kwa faragha (saa 24 mara moja kwa mwezi)
Israel; wao wanaruhusu ziara hizi za conjugal kwa wafungwa ambao hawajafanya makosa ya usalama wa taifa na wenye tabia njema. Nchi nyingine ni kama vile India, Philippines, Mexico, Brazil, Italy, Germany,
Tanzania hata hatuhitaji hizo CONJUGAL VISIT na hatujawahi kuzipigania, tunataka kuonana uso kwa uso na ndugu na jamaa zetu ambao ni mahabusu/wafungwa gerezani. TUTAKWENDA KUHOJI MAHAKAMANI.
Sheria kuu inayohusiana ni Sheria ya Magereza (Prisons Act, Cap. 58), kifungu cha 46 inaruhusu wafungwa kupokea barua na wageni (visits and letters) kama moja ya privileges (haki maalum) waliyopewa wafungwa.
Kwa mujibu wa Prisons (Prison Management) Regulations, 1968 Mfungwa aliyehukumiwa (convicted criminal prisoner) anaruhusiwa kupokea wageni si zaidi ya watu wawili kwa dakika 15 mara moja kila wiki 4
Mahabusu (remand prisoners/detainees awaiting trial) wana haki ya kutembelewa mara kwa mara, na mamlaka ya gereza (officer-in-charge) inaweza kuruhusu ziara za ziada kwa inavyofaa (reasonable additional visits).
Ndugu, jamaa, rafiki au mwingine yeyote ana haki ya kumtembelea mfungwa/mahabusu gerezani, kama ilivyoelezwa katika sheria za magereza na miongozo ya Jeshi la Magereza na majadiliano ya haki za wafungwa.
Je, kuna tishio la kiusalama linalosababisha Tundu A.M Lissu asitembelewe gerezani? Je, wageni wa Tundu A.M Lissu wamekiuka taratibu gani? Kuna amri maalum ya kisheria kuwa Tundu Lissu asitembelewe gerezani?
In a telegram, Pope Leo XIV offers his condolences for the passing of Cardinal Polycarp Pengo, Archbishop Emeritus of Dar es Salaam, Tanzania.
https://t.co/MQAVvk1xvg
KARDINALI Pengo afariki dunia: Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kardinali Pengo,amefariki dunia usiku wa Saa 4, Februari 19, 2026 katika Hospitali ya Jakaya Kikwete, D'Salaam.
Tukiwa tunatoa opinions, tena kama hizi ambazo zinaweza chefua watu, ni vyema kuwa na vivid examples & valid evidence.
Mfano ku-insinuate kuwa ukaribu wake kwa AY & FA ndio umembeba, wakati yeye ndio aliwabeba wao, is absurd.
Kila Msanii ana kitu chake, na ni kweli tunatofautiana vipawa… ila hata wasikilizaji nao wanatofautiana uwezo wa kuelewa na kupenda.
Pia angalia claim zako zisiishie kukufanya ukose heshima wewe. Maana kumuita mtu hakuwa Msanii na ana Nyimbo, Albums, Hits, Videos, Alianzisha Group lililozaa Stars… joke is on you!!