@MkulimaKante Wale jamaa kabla ya kuja ule mkutano wa Berlin pale aisee Leo lililkuwa ni moja waje kutuvulugia dini yetu π―ndio maana walivokuja wakaanza kupandikiza vitu vyao kwa lengo la kusema wanasambaza dini hao Ethiopia hawakutaliwa Kwasababu walikataa kuipokea ile dini yao.
Nimemaliza
@GermanyTanzania@mfa_tanzania Habari za mchana UBALOZI WA UJERUMANI
samahani nilikuwa Naomba kazi yoyote hata ya usafi katika ofisi zenu ili niweze kuilisha familia yanguππ
Naitwa Remigius Nina Miaka 26 Nipo mwanza Nina mke.