Aliekuwepo PolePole tena kiongozi wa Chama tawala top ila Wamekuja mgeuka wakamla sasa wewe dhan wanaondaman ni kwaajili ya mtu ni kwaajili ya haki na aman wa mwananchi
Sidhan Kama Una akili timamu
Hapa kimara korogwe kwenda ubungo ni peupe sana wale mliopo mwenge tukutane ubungo kuungana na wapenda haki wengine kuongeza nguvu tutambue wingi wetu leo ndio ushindi wetu #sirininumber7
Ukitaka kufahamu kiwango ambacho nchi yetu imeharibika ni pale unamsikiliza ‘Luteni Kanali’ wa JWTZ ambaye amepewa wadhifa wa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano anatumia kauli mbiu ya kampeni za MaCCM, ‘Kazi na Utu’. Hii nchi imeharibika kiwango cha kutorekebishika kirahisi.